Heri uber, kuna wakuda wanaitwa taxify, hao ndio usiwasogelee kabisa, hovyo kabisa.
Uber ina uahueni sana, mara nyingi hawana tofauti kubwa sana na bei ya awali na mwisho wa safari hata kama kutakua na foleni.
Taxify hawakwambii nauli toka mwanzo, wanaenda kukubambika mwishoni na kama kuna foleni kutoka airport hadi poata unaweza kujikuta umelipa 40,000 au hata 50,000.