Ubelgiji kujenga bomba la kusafirisha Pombe

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Wakati serikali ya Tanzania ikiwa imefikia makubaliano ya kupitisha bomba la mafuta kutoka nchini Uganda basi nchi ya Ubelgiji linajengwa bomba la kusafirisha kilaji.

Xavier Vanneste alipata wazo la kujenga bomba litakalosafirisha bia miaka minne iliyopita, mwanzoni lilionekana wazo lisiloeleweka, lakini baadae likakubalika na takribani wanywaji 400 wakajitokeza kuchangia mradi huo.

belgium-build-beer-pipe2.jpg



34E8DD8700000578-3625489-image-a-6_1465072556714.jpg



Sasa kuonyesa support yao katika mradi huu wanywaji walichangisha dola milioni 3 hivyo wameahidiwa kupata bia moja kila siku bure maisha yao yote.

Xavier Vanneste amekuja na wazo la kutengeneza bomba kwa ajili ya kusafirisha bia kwa sababu hakutaka kutumia malori kwa kuwa yangeharibu mji, bomba limetoka ilipo kampuni ya bia kuelekea nje ya mji kama km 2.


==============
BRUGES, Belgium — The idea may have seemed mad, but after all, the beer is called the Madman of Bruges — or Brugse Zot in Dutch.

With the help of crowdfunding efforts among some 400 Madman fans, the dream of building a beer pipeline through the Belgian city of Bruges is becoming real.

"You have to be a bit crazy — like the beer — to do such a project. I just had the money for that, and I liked it. So I went crazy and gave the money to the brewery," said restaurant owner Philippe Le Loup, who poured $11,000 into the pipeline.

Brewer Xavier Vanneste got the idea four years ago to pump beer from his Bruges brewery to a bottling plant outside of town in a pipeline instead of having hundreds of trucks blighting the cobblestoned streets of the UNESCO-protected medieval city.

What at first seemed like an outrageous dream, began to seem possible when Vanneste started talking to local beer enthusiasts.

Jokes were coming in fast, with people saying "we are willing to invest as long as we can have a tapping point on the pipeline," Vanneste said. "That gave us the idea to crowdfund the project."

Thanks to Le Loup and others, he is now staring at the one end of the pipeline, which beginning in the fall will start pumping some 4,000 liters (1,060 gallons) of beer an hour toward the bottling plant, 3 kilometers (2 miles) away in an industrial zone.

"That is a lot of beer, more than you can drink in a lifetime," said the owner of De Halve Maan brewery, which in addition to Brugse Zot is also famous for its Straffe Hendrik beer brand.

Sending the pipeline along streets where customers could siphon off their favorite suds was too utopian even for Vanneste, but he came up with the next best thing: IOUs with a lifelong drinking guarantee.

"We have several formulas: bronze, silver and gold," he said. "If you put in 7,500 euros ($8,350), you will receive for the rest of your days, every day one bottle of Brugse Zot."

Source: StarTribune


=====================
My Take: Hakuna kitu kinashindikana hata hapa Tz tunaweza kuchangishana tukajenga kutokea Ubungo kuelekea maeneo ya jirani na wale wa Temeke vivyo hivyo
 
Iko hivi yaani bomba linakuja hadi gheto kama vile bomba la dawasco

Kisha unawekewa Flow meter , wewe unapiga kinywaji chako kama unavyotaka....mwisho wa mwezi jamaa wanapita ku-clear bills zao .....
 
Imagine hii project Ingekuwa hapa TANZANIA;
Najua haya yangetokea:

1.Kuna watu wangekufa kwa kunywa pombe....imagine unafungulia pombe kwenye koki kama maji ya dawasco...


2. Watu wengine wakikatiwa huduma ya pombe.....

3. Wengine wangeenda kutoboa pipe ya jirani alafu ajiunganishie.....


4. Baadhi ya vijiwe vingekufa kabisa.....


5. Kule kwa wazee wa kazi kama Rombo hivi....hapa mnaelewa wenyewe hahahahaa!

6. Watu wangeshindwa kulipa bill za pombe.....
 
Habari wanaJF,

Wakati serikali ya Tanzania ikiwa imefikia makubaliano ya kupitisha bomba la mafuta kutoka nchini Uganda basi nchi ya Ubelgiji linajengwa bomba la kusafirisha kilaji.

Xavier Vanneste alipata wazo la kujenga bomba litakalosafirisha bia miaka minne iliyopita, mwanzoni lilionekana wazo lisiloeleweka, lakini baadae likakubalika na takribani wanywaji 400 wakajitokeza kuchangia mradi huo.

belgium-build-beer-pipe2.jpg



34E8DD8700000578-3625489-image-a-6_1465072556714.jpg



Sasa kuonyesa support yao katika mradi huu wanywaji walichangisha dola milioni 3 hivyo wameahidiwa kupata bia moja kila siku bure maisha yao yote.

Xavier Vanneste amekuja na wazo la kutengeneza bomba kwa ajili ya kusafirisha bia kwa sababu hakutaka kutumia malori kwa kuwa yangeharibu mji, bomba limetoka ilipo kampuni ya bia kuelekea nje ya mji kama km 2.


==============
BRUGES, Belgium — The idea may have seemed mad, but after all, the beer is called the Madman of Bruges — or Brugse Zot in Dutch.

With the help of crowdfunding efforts among some 400 Madman fans, the dream of building a beer pipeline through the Belgian city of Bruges is becoming real.

"You have to be a bit crazy — like the beer — to do such a project. I just had the money for that, and I liked it. So I went crazy and gave the money to the brewery," said restaurant owner Philippe Le Loup, who poured $11,000 into the pipeline.

Brewer Xavier Vanneste got the idea four years ago to pump beer from his Bruges brewery to a bottling plant outside of town in a pipeline instead of having hundreds of trucks blighting the cobblestoned streets of the UNESCO-protected medieval city.

What at first seemed like an outrageous dream, began to seem possible when Vanneste started talking to local beer enthusiasts.

Jokes were coming in fast, with people saying "we are willing to invest as long as we can have a tapping point on the pipeline," Vanneste said. "That gave us the idea to crowdfund the project."

Thanks to Le Loup and others, he is now staring at the one end of the pipeline, which beginning in the fall will start pumping some 4,000 liters (1,060 gallons) of beer an hour toward the bottling plant, 3 kilometers (2 miles) away in an industrial zone.

"That is a lot of beer, more than you can drink in a lifetime," said the owner of De Halve Maan brewery, which in addition to Brugse Zot is also famous for its Straffe Hendrik beer brand.

Sending the pipeline along streets where customers could siphon off their favorite suds was too utopian even for Vanneste, but he came up with the next best thing: IOUs with a lifelong drinking guarantee.

"We have several formulas: bronze, silver and gold," he said. "If you put in 7,500 euros ($8,350), you will receive for the rest of your days, every day one bottle of Brugse Zot."

Source: StarTribune


=====================
My Take: Hakuna kitu kinashindikana hata hapa Tz tunaweza kuchangishana tukajenga kutokea Ubungo kuelekea maeneo ya jirani na wale wa Temeke vivyo hivyo
Shikamoo wazunguuu
 
Hapa mwanza itabidi na sisi tujenge letu kutoka tbl ilemela mpaka isamilo caprpoint na mwananchi nyakato
 
Ngoja nasisi tuvumilie chini ya chama chakavu huenda wakaweka bomba la maziwa toka Kituro hadi mbeya japo maji tu ni shida wamebaki kupambana na wakosoaji wa mfalme
 
Bila kujali kama ni uwekezaji bora au la; nawapongeza wanadamu kwa uwezo wa kubuni na kutekeleza maamuzi yao. Kudos
 
Back
Top Bottom