ubeleji%Ubelgiji mwaka 1900

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Leo ni watu tofauti sana. Hapo ni kwenye lift ndani ya mgodi wa makaa ya mawe
 
Walichumia juani..Leo wanakula gambe! Hata sisi ikifika 2020 tutakula gamble,itakua shangwe tupu
 
Hawa wahenga walikuwa wanakwenda kukokwa moto kwa ajili ya BBQ au?
 
Mi nilidhani utaleta vitu kama hivi
 
Usiwe na wasiwasi 2025 tutakuwa ni nchi ya viwanda

Youngblood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…