B bennyb Member Joined May 8, 2014 Posts 31 Reaction score 4 Sep 2, 2015 #1 jamani naombeni wanajamii forum tuliofanya interview pale ubapa kwa nafasi ya surveyors tarehe 1/9/2015 naomba atakayepata taarifa tujuzane kwani walisema wataanza kupiga simu kuanzia leo
jamani naombeni wanajamii forum tuliofanya interview pale ubapa kwa nafasi ya surveyors tarehe 1/9/2015 naomba atakayepata taarifa tujuzane kwani walisema wataanza kupiga simu kuanzia leo
afande kifimbo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 6,303 Reaction score 2,728 Sep 2, 2015 #2 all the best
B bennyb Member Joined May 8, 2014 Posts 31 Reaction score 4 Sep 2, 2015 Thread starter #3 Asante kwa taarifa ni kwamba kesho tarehe 3/9/2015 naona nimeitwa kwenye interview ya kuandika baada ya jana tarehe 1/9/2015 kufanya ya mahojiano
Asante kwa taarifa ni kwamba kesho tarehe 3/9/2015 naona nimeitwa kwenye interview ya kuandika baada ya jana tarehe 1/9/2015 kufanya ya mahojiano
icca Senior Member Joined Nov 8, 2014 Posts 186 Reaction score 177 Sep 3, 2015 #4 bennyb said: Asante kwa taarifa ni kwamba kesho tarehe 3/9/2015 naona nimeitwa kwenye interview ya kuandika baada ya jana tarehe 1/9/2015 kufanya ya mahojiano Click to expand... Mungu akutangulie,.
bennyb said: Asante kwa taarifa ni kwamba kesho tarehe 3/9/2015 naona nimeitwa kwenye interview ya kuandika baada ya jana tarehe 1/9/2015 kufanya ya mahojiano Click to expand... Mungu akutangulie,.
B bennyb Member Joined May 8, 2014 Posts 31 Reaction score 4 Sep 3, 2015 Thread starter #5 Asante jaman nashukuru kwani tumeanza training kwa tuliochaguliwa