Ubakaji wakati wa mahusiano

i want to know ths gal, mdada eeeh eb n pm namba yako.
 
Last edited by a moderator:
Lara 1 ni mwisho wa matatizo. Avatar yenyewe imetulia balaa. Maneno yako usipime
hii habari ya kutegewa Nido inaelekea imezoeleka sana. Kuanzia sasa naachana na Nido na concentrate zaidi ktk kupiga mbizi (au hata huko kunapigwa ma powder?)
 
Hahahaaaaaaa! Kumbe nimeuza siri za kambi!!! Ngoja NI SHUT THE F UP!!!!!
 
Hahahaaaaaaa! Kumbe nimeuza siri za kambi!!! Ngoja NI SHUT THE F UP!!!!!

plse nitonye basi kama inawezekana mapowder pia yanapigwa hadi bahari ya Hindi. kweli nataka
kuacha hata hizo mbizi.
 
Pole sana japo hata mwandiko wako unaonyesha bado under 18, subiri kwanza ukue usije enda kuumizwa tena mtoto mzuri.

dah thanks, I thought I was the only one who felt that the author might be slightly under age...

:focus: kila jambo na wakati wake, one step at a tym...atulizane
 
Shetani wa mtu ni mtu, so huyo rafikiyo ndo mwamuzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…