Ubahili wa Mpare!

kaka mtu

Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
17
Reaction score
3
Mpare mmoja alinunua mbuzi kwa ajili ya kitoweo, akamwambia mpishi, Nuthu ya nyama ipike pilau na nyingine itie kwenye Fritha!, kichwa fanya thupu na miguu fanya mchudh chukuchuku!, Ngodhi uthiitupe tutaifanya mkeka, Utumbo pikia ndithi na mifupa tutawauthia wenye mbwa!, Mkia nitengenedhee usinga wa kufukudhia INDHI, kinyethi kihifadhi kwa ajili ya mbolea ya bustani. Mpishi akauliza hutaki na sauti ya mbuzi 2fanye Ring tone ya simu yako?
 
Nimecheka sana na inafurahisha asante mkuu kakamtu.
 
hahahaaaaaaaaaaa harikaaaaaa!!
 
jamani,,, sisi wapare ni wabahili lakini si kiasi hiki?????? Hapa mmetuonea
 
hiyo ring tone atawauzia waingiza nyimbo kwenye cm
 
Katavi nawe umeoona eeh!! this is too much now!! duh
 
That shows brilliant economic skills,kama tunge practice kwa kila jambo tungeweza ku utilize effectively the available limited resources!
 
kha! Huyu mpare kudadek yupo juuu ucpme
 

ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mkuu hii nayo kali!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…