ubahili noma.

MAKINYA

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
139
Reaction score
54
watu wote tunaishi kwa bajeti ila hii kiboko.

Mkinga mmoja alitumbikia kwenye kisima cha maji
akapiga kelele,Mkewe akaja na kamba mpya akamrushia,mume akauliza
"umenunua shilingi ngapi"?
Mke "BuKU kwa Mangi"
mume akamwambia "irudishe , kwa Sanga wanauza JERO.
 
Hee jamaa noma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
safi sana, bajeti inakuwa na vipaombele kamba siyo mojawapo
 

Ya kawaida saana.!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…