MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
CHADEMA wanafurahi sana kudai wanapewa siri za Serikali au CCM na baadhi ya waajiriwa wa Usalama wa Taifa lakini wanakuwa wa kwanza kutoa malalamiko na kudai wanahujumiwa pale siri zao zinapochukuliwa na watu hao hao wanaodai wanawapa siri za serikali au CCM. Waingereza wanasema, Don't hate the player, hate the game!
Ndugu,Tatizo sio kuwasiliana bali uwasiliana kwa sababu zipi?Kumuwekea mtu sumu?Kutoa siri za vikao?
Punguza upotoshaji na unafiki
Nilisema;
Niliendelea kusema;Ben Saanane alikaririwa akijenga hoja za kuitetea Kamati Kuu ya CHADEMA katika misingi ya Katiba, Kanuni, Itifaki na taratibu baada ya kumuadhibu Zitto Kabwe na ''kundi lake''.
Misingi hiyo hiyo ya Katiba, Kanuni, Itifaki na taratibu aliyokuwa anaitetea kwa nguvu zote ndiyo imekuja kumtandika tena yeye mwenyewe katika safari yake ya kutaka kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA-taifa.
Fast forward mpaka August, 2014 tunakutana tena na comment za Ben Saanane akilalamika mpaka kutaka kwenda mahakamani kupinga Katiba, Kanuni, Itifaki na taratibu ambazo siyo muda mrefu alikuwa akizipigia chapuo. Hii imetokea baada ya kupigwa nyundo ya kifitini na kuachwa barabarani katika harakati zake za kutaka tena kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA taifa.
Ben Saanane hakufahamu au alisahau kuwa The Law of Karma is in full swing!
Ndugu,
Hata wewe Karma Law imeishafanya kazi yake baada ya kushabikia ubaguzi.
Nilishaeleza katika thread yangu hii;
Nilisema;
Ungeweza kujenga hoja yako bila kuita watu majina na kutanguliza hisia.
Nina mashaka kama unalimudu vyema jukwaa hili
Ndugu,Hili ndio tatizo la watu wanafiki.Kutetea kanuni na katiba inapotumika dhidi ya mwingine inamaanisha kwamba haiwezi kutumika dhidi yangu?
Mbona una mawazo primitive kiasi hiki?
Huyu nae eti amejenga hoja hapo juu.
Kweli kabisa mkuu. Haya ndo madhara ya chama kuongozwa kwa amri ya Jikoni. Josephine ndiye anayetoa muelekeo wa chama
Ndugu,Hakika unaipenda chadema sana unaonaje tukikupa nafasi ya uenezi? Kwenye majukwaa lazima ndio ajenda yako kwenye vikao na mitandao ya kijamii ndio ajenda yako kuitangaza cdm hongera sana na karibu cdm.
Kutojitambua na unafiki ni vitu vibaya sana duniani.
Ndugu,
Kama hiyo ndiyo hoja yako na unafahamu hivyo, kwa nini ulitaka kwenda mahakamani baada ya kanuni na katiba hiyo hiyo kutumika juu yako.
Kwa mantiki hii, nani mnafiki hapa kati yangu na wewe.
Tatizo sio kuwasiliana bali uwasiliana kwa sababu zipi?Kumuwekea mtu sumu?Kutoa siri za vikao?
Punguza upotoshaji na unafiki
Maboss wako CHADEMA kiasi kwamba, wanapata mpaka ulinzi wa kujifananisha kama Rais wa Tanzania!.Naona mnavyopapatikia uzi wa boss wenu, nasikia huwa anawapigia kabla ya ku-post!
Thanks!Nailed!