SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,805
Kwa nini jumuiya za kimataifa zimeipa kisogo Yemeni ikiwa katika machafuko ya kuuliwa wananchi wasio na hatia kwa muda sasa, lakini juzi Sudan Kusini wamepeana kidogo za Chembe, dunia nzima imelipuka kutaka kuingilia kati si UN, AU, IGAD, EAC lakini humsikii kiumbe yeyote pale Yemeni au Syria. WHY?
Kuna mwingine (uliza Zaire,Somali,Iraq,Afghan,Libya,SS,Syria zipo wapi?)Watasema ni USA au Israel
Kwa nini jumuiya za kimataifa zimeipa kisogo Yemeni ikiwa katika machafuko ya kuuliwa wananchi wasio na hatia kwa muda sasa, lakini juzi Sudan Kusini wamepeana kidogo za Chembe, dunia nzima imelipuka kutaka kuingilia kati si UN, AU, IGAD, EAC lakini humsikii kiumbe yeyote pale Yemeni au Syria. WHY?
sio kweli Mkuu!! labda huwafahamu shia (houth) na Ukiwafaham hutapenda hata wakusogeleeustadhijuma wasunni wa saudia na yemen ndio wanaiweka nchi kwenye hatari.