Hivo baada ya Zakayo TRA kudai naye Zakayo ZRB anasimama kudai chake.ZRB ni bodi ambayo inahusika na unakusanyaji wa kodi na mapato ya ndani ya zanzibar tu,na haihusiki kabisa na kukusanya kodi za muungano...hizi za Muungano hukusanywa na TRA. So kila mtanzania anaweza kuajiriwa TRA lkn si kila mtanzania anaweza kuajiriwa ZRB,coz TRA ni ya Muungano but ZRB ni ya wazanzibari tu...mtanganyika hakuna kunusa kabisa,so jipange.
Kwa mujibu wa kifungu gani mkuu?ZRB ni bodi ambayo inahusika na unakusanyaji wa kodi na mapato ya ndani ya zanzibar tu,na haihusiki kabisa na kukusanya kodi za muungano...hizi za Muungano hukusanywa na TRA. So kila mtanzania anaweza kuajiriwa TRA lkn si kila mtanzania anaweza kuajiriwa ZRB,coz TRA ni ya Muungano but ZRB ni ya wazanzibari tu...mtanganyika hakuna kunusa kabisa,so jipange.
tafuta sheria iliyoanzisha TRA na pia iliyoanzisha ZRB uzisome,utaelewa tu.Kwa mujibu wa kifungu gani mkuu?
ww umeelewa kabsa kwan zote zpo TRA & ZRB na kila moja inafanya majukumu yake kiupande wake tafadhali muelewesheduu!
hivi huu muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar sometimes mambo mengine hayaeleweki vizuri hivyo unaweza kuwa 'paradox'.
lakini kwa ufupi nilichoelewa hapo ni kuwa TRA inafanya zile kazi kwa tanzania yote lakini kwa zanzibar kuna hiyo ZRA pia ambayo ni mahsusi kwa zanzibar tu.
Hizo ndo protocol za muungano coz ya small geographical area iliyo nayo znz so tukiacha ardh yote iende wakat ni ndogo na hawa indigenous tribe tutawapeleka wap na wala usfananshe et wa zanzbar wanamik uko mashamba sawa mana wao nidogo hata wakienda wote hawawez kujaza (kuna tofaut kat ya visiwa na mainland)Huu muungano haueleweki kabisa,hata ardhi ni marufuku mtanganyika kupata zanzibar,ila wao huku bara ni wenyeji kuliko sisi