LAZIMA NISEME
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 240
- 267
Hivi karibuni TAMISEMI NA NHIC zimetoa tenda katika magazeti ya ujenzi wa kanzi data kwa matumizi yao bila kujali kufanya hivyo ni kukiuka kabisa agizo la Wizara husika kutumia kituo kipya cha Taifa cha Kanzi data (DATA CENTER),watanzania wenzangu tumelogwa na nani?
KITUO CHA KANZI DATA CHA TANZANIA ni Kituo ambacho ni cha kwanza kujengwa katika nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ni fursa mpya kwa wafanyabiashara na wadau mbalimbali wenye taarifa nyingi kuzihifadhi na kuzitumia wanapozihitajika, kinamilikiwa na Serikali na ujenzi wake umegharimu takribani dola za kimarekani milioni 93 deni kutoka Serikali ya China
KITUO CHA KANZI DATA kimetengenezwa kutunza taarifa na usalama kwa uhakika wa kuzitumia wakati wote, ambapo asilimia 75 imetengwa kwa ajili ya kutunza taarifa kutoka sekta binafsi na 25% itatunza taarifa za Serikali. Tumelogwa na nini?
Bado kuna tatizo kubwa na kupenda kununua na kukimbilia Data Center binafsi ambapo zipo below standard. Mfano wizara ya afya wameweka baadhi ya huduma Data Center ya Vodacom na ukiangalia gharama zilizotolewa na data centre ziko chini na pia National Data Center ni Tier 3 State-of-the-art ,Hizi taasisi zinahitaji agizo kali la serikali tu, hawawezi kunyooka shurti kwa muongozo mmoja tu najiuliza tu NEC walifanya hivyo hivyo,NIDA nao wakajenga ya kwao tena kwa Gharama kubwa ukiangalia Kama National Housing, TPA, RITA,TCAA, TAA, MSD,SUMATRA,Taasisi zote za elimu ya juu na wengine wengi Wanakaidi tu bila sababu za msingi, na wanapenda kununua wenyewe Manunuzi yaani upigaji mpya wa awamu hii ya 5, Mh,Dr,Rais wetu hili ni jipu jipya kwa idara Wizara na Taasisi za serikali Manunuzi manunuzi.
Mh Rais Data Center inapunguza gharama kwa kiasi kikubwa sana there is a big difference on cost implication cutting across from IT Facilities to Operations & Maintenance, not only that but Reliability and Service Assurance is guaranteed in terms of Power, Support, Both Intensive and Extensive Operation over-head In short Data Center is the best way to go,serikali kupitia e-gov agency wanauwezo kabisa wa kusimamia hili na likafanyika kwa namna yake wapo tu wakibariki manunuzi mapya maana wao ndio washauri Atii.. kwasababu nadhani hata hili la kuwa na their own DC lazima egov awe involved... Not sure but lazima tuwe na Msimamo as government tunaposisitiza ubadhirifu,na ufujaji wa rasilimali fedha tena kwa wakati huu wa JPM nilitegemea Idara hizi amakujipima upya kama sio kuogopa maana wananchi wengi ni waelewa wa mambo mengi.Huu ni ubadhirifu mpya chini ya serikali ya Dr John Pombe Magufuli,katika hili Lazima Niseme..Mkuu mulika hawa kama hunataarifa.