Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Kareeebuni Wakuu Futari Haya Ndio Maisha ya Ubachela
Nimeona sio Issue kula kwa mama ntilie futari Kwani sitapata Nikipendacho
Nakinacho stahili .
Hivyo Nimeingia mwenyewe Ulingoni Kutengeneza futar
Nawakaribisha Wakuu
Ubachela kipaji
Ila nimshukuru Mama chibudee.
Kwakutonilea kimayai
Naweza fanya vitu vya studio hata bila ya mke Hope Nitakae muoa Atakula bata kiasi chake