Duuhh!! Pole sana mkuu for the bad experience.Salaam Watanzania!
Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.
Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto...
Good morningggggggNi mchongo gani mkuu?
Hehe mi walinipa uongozi wa watu 10 kwenye hiyo campaign nikakaa kwa wiki 2 nikaona wanazingua nikawachana afu nikasepaSalaam Watanzania!
Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.
Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto.
Kwenye hii kampeni tulitambulika karma MaChampioni wa haki za watoto na ni kampeni inayotumia mitandao ya kijamii.
Mwanzo wakati sijafanya kazi na awa watu, picha niliyokuwa nayo ni ya viwango vya juu sana. Niliamini kufanya kazi na UNICEF hata kwa kujitolea kutanisaidia kunijenga na kunikuza professionally na kutanipa uwanja wa kusaidia jamii.
Lakini imekuwa ni tofauti sana na matarajio yangu. Nimekutana na ubabaishaji ambao sijawai uona tangu nimeanza kufanya kazi za kujitolea.
Kumekuwa na uongo mwingi sana. Hakuna chochote kinachofanyika kutusaidia kukuza career zetu. Kampeni ni usanii mtupu hakuna tunachofanya huko mitandaoni lakini mwisho wa siku tunafanya vikao zoom au Microsoft kupongezana kwa kazi nzuri ya kupigania haki za watoto. Kwa zaidi ya miezi sita tumekuwa tuki-struggle kupata kitu cha kufanya yani walau tuwe na kitu cha kuonesha kwamba hichi ndio tunafanya kwenye kampeni lakini mambo yapo ndivyo sivyo, hakuna support wala nguvu kutoka UNICEF. Ni kama tunatumiwa fulani.
Hata leo ukiulizwa kwenye hiyo kampeni ulikuwa unafanya nini hujui useme nini. Lakini cha ajabu mmoja kati ya viongozi wa hii kampeni (toka UNICEF Hq) amepata tunzo ya kimataifa, reference ikiwa hii kampeni.
Tuliaidiwa kupata walau bundle za internet kila mwezi lakini kila siku ni hadithi tu na usanii wa maneno hakuna tunachopata.
Tulipewa ahadi ya kutambuliwa kwa kupewa certificate lakini hata hizo nazo ni hadithi tu na usanii.
Kampeni ilikuwa ni ya miezi 6 kuanzia Mei - November 2020 lakini mpaka leo hatujui kama kampeni inaendelea au ilishakwisha, very unprofessional yani.
Wito wangu kwa sisi vijana tunaopambana tusibabaishwe na majina makubwa ya baadhi ya mashirika, wengine ni matapeli tu. Kuna watu wapo umo kututumia kufikisha malengo yao ya kikazi au wapate pesa kwa donors so inabidi tuwe makini.
Siku hata hawa wazungu wababaishaji, mimi nimefanya na NGO flani kubwa chini ya WFP, niliacha baada ya mwaka mmoja baada COO wao na CEO wote wamarekani wana ubabaishaji na uswahili uliyopitiliza sana.Dah aisee, sikutegemea unicef kwa ukubwa wao wafanye haya mambo.
Aisee pole sana. Na asante kwa kutufahamishaSalaam Watanzania!
Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.
Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto.
Kwenye hii kampeni tulitambulika karma MaChampioni wa haki za watoto na ni kampeni inayotumia mitandao ya kijamii.
Mwanzo wakati sijafanya kazi na awa watu, picha niliyokuwa nayo ni ya viwango vya juu sana. Niliamini kufanya kazi na UNICEF hata kwa kujitolea kutanisaidia kunijenga na kunikuza professionally na kutanipa uwanja wa kusaidia jamii.
Lakini imekuwa ni tofauti sana na matarajio yangu. Nimekutana na ubabaishaji ambao sijawai uona tangu nimeanza kufanya kazi za kujitolea.
Kumekuwa na uongo mwingi sana. Hakuna chochote kinachofanyika kutusaidia kukuza career zetu. Kampeni ni usanii mtupu hakuna tunachofanya huko mitandaoni lakini mwisho wa siku tunafanya vikao zoom au Microsoft kupongezana kwa kazi nzuri ya kupigania haki za watoto. Kwa zaidi ya miezi sita tumekuwa tuki-struggle kupata kitu cha kufanya yani walau tuwe na kitu cha kuonesha kwamba hichi ndio tunafanya kwenye kampeni lakini mambo yapo ndivyo sivyo, hakuna support wala nguvu kutoka UNICEF. Ni kama tunatumiwa fulani.
Hata leo ukiulizwa kwenye hiyo kampeni ulikuwa unafanya nini hujui useme nini. Lakini cha ajabu mmoja kati ya viongozi wa hii kampeni (toka UNICEF Hq) amepata tunzo ya kimataifa, reference ikiwa hii kampeni.
Tuliaidiwa kupata walau bundle za internet kila mwezi lakini kila siku ni hadithi tu na usanii wa maneno hakuna tunachopata.
Tulipewa ahadi ya kutambuliwa kwa kupewa certificate lakini hata hizo nazo ni hadithi tu na usanii.
Kampeni ilikuwa ni ya miezi 6 kuanzia Mei - November 2020 lakini mpaka leo hatujui kama kampeni inaendelea au ilishakwisha, very unprofessional yani.
Wito wangu kwa sisi vijana tunaopambana tusibabaishwe na majina makubwa ya baadhi ya mashirika, wengine ni matapeli tu. Kuna watu wapo umo kututumia kufikisha malengo yao ya kikazi au wapate pesa kwa donors so inabidi tuwe makini.
Most helpful answer. AsanteDuuhh!! Pole sana mkuu for the bad experience.
Kwa shirika kama UNICEF, hapo itakua in uzembe binafsi wa ofisi yao ya Tanzania, specifically mtu ambae alikua anasimamia huo mradi/activity. Hapo utakuta wakubwa wao (UNICEF makao makuu) Hata hawajui kinachoendelea na huo ubabaishaji.
Cha kufanya: Nenda kwenye Website yao ya UNICEF, kisha ingia sehemu ya kureport fraud, click hapo then andika details za malalamiko yako exactly what happened.
Malalamiko yako yatapokelewa directly na UNICEF HQ na watafanya uchunguzi juu ya madai yako (wata reach out kwako pia na kuomba call na wewe pamoja na kuwafikia volunteers wengine pia kwa kuwapigia kuongea nao-kwenye details za malalamiko yako, hakikisha unaandika pia e mail address za baadhi ya volunteers mliokua nao angalau watatu ili waweze kuwafikia). Tumia link hii hapa Ku report incidence yako: i-Sight
Unaweza kureport issue yako bila kudisclose jina lako (anonymously) kama ukitaka. Issue yako itakua investigated thoroughly na independently, na jamaa waliohusika na hiyo issue watachukuliwa hatua za kinidhamu kulingana na taratibu za UNICEF.
sonofobia
Nadhani mashirika ya kimataifa yanamuongozo na kanuni maalum. Hadi unapo omba field lazma ukutane na hizo kanuni. Ktk maelezo yako kuna jambo halijakua sawa. Pengine maombi yako yamepokelewa kienyeji na afica wa ngazi za chini. Mashirika ya umoja wa mataifa hayana ubabayishaji uliooredhesha. Hata hivo jitahidi uripoti hilo suala kwa ajli ya kusaidia wengine....Salaam Watanzania!
Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.
Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto.
Kwenye hii kampeni tulitambulika karma MaChampioni wa haki za watoto na ni kampeni inayotumia mitandao ya kijamii.
Mwanzo wakati sijafanya kazi na awa watu, picha niliyokuwa nayo ni ya viwango vya juu sana. Niliamini kufanya kazi na UNICEF hata kwa kujitolea kutanisaidia kunijenga na kunikuza professionally na kutanipa uwanja wa kusaidia jamii.
Lakini imekuwa ni tofauti sana na matarajio yangu. Nimekutana na ubabaishaji ambao sijawai uona tangu nimeanza kufanya kazi za kujitolea.
Kumekuwa na uongo mwingi sana. Hakuna chochote kinachofanyika kutusaidia kukuza career zetu. Kampeni ni usanii mtupu hakuna tunachofanya huko mitandaoni lakini mwisho wa siku tunafanya vikao zoom au Microsoft kupongezana kwa kazi nzuri ya kupigania haki za watoto. Kwa zaidi ya miezi sita tumekuwa tuki-struggle kupata kitu cha kufanya yani walau tuwe na kitu cha kuonesha kwamba hichi ndio tunafanya kwenye kampeni lakini mambo yapo ndivyo sivyo, hakuna support wala nguvu kutoka UNICEF. Ni kama tunatumiwa fulani.
Hata leo ukiulizwa kwenye hiyo kampeni ulikuwa unafanya nini hujui useme nini. Lakini cha ajabu mmoja kati ya viongozi wa hii kampeni (toka UNICEF Hq) amepata tunzo ya kimataifa, reference ikiwa hii kampeni.
Tuliaidiwa kupata walau bundle za internet kila mwezi lakini kila siku ni hadithi tu na usanii wa maneno hakuna tunachopata.
Tulipewa ahadi ya kutambuliwa kwa kupewa certificate lakini hata hizo nazo ni hadithi tu na usanii.
Kampeni ilikuwa ni ya miezi 6 kuanzia Mei - November 2020 lakini mpaka leo hatujui kama kampeni inaendelea au ilishakwisha, very unprofessional yani.
Wito wangu kwa sisi vijana tunaopambana tusibabaishwe na majina makubwa ya baadhi ya mashirika, wengine ni matapeli tu. Kuna watu wapo umo kututumia kufikisha malengo yao ya kikazi au wapate pesa kwa donors so inabidi tuwe makini.
Mi sikuwachelewesha kabisa niliona wana unyonyaji maana haiwezekani wapewe hela za mradi afu sisi tufanye volunteering bila kuwezeshwa hata bundle. Nilitemana nao mapema sana yani sitokuona cha maana mpaka leoAisee wewe ulistuka mapema sana.
Bado sijaelewa maombi yako ya attachement kama yalitumwa kwa mfumo rasmi? Je unao barua iliosainyiwa na ofica wa unicef? Kwa ajli ya kujibu maombi yako? Je Umepewa temporary acces card kwa ajli ya kutumia facilities za unicef.... Kama unao barua ya majibu kutaka mkuu yoyote wa kitengo chako. Na kama unao temporary acces card. Nakushauri zote unitumie kopy zake na cintact zako binafsi. Ntazituma moja kwa moja kwa representa wa un hapa Tanzania. Malalamiko yako yataskilizwa kwa haraka mno. Na utakua umesaidia watanzania wengine waliopitiwa hujuma kama uliotuelekeza... Ukiwa tayari uni pm ili nikupe njia ta kunitumia hizo nakala.Jambo lipi halijakaa sawa mkuu kwenye maelezo yangu?
Niambie nitoe maelezo zaidi.
Umesharipoti hii incidence kwenye website yao ya kuripoti fraud na misconduct niliyokutumia?Jambo lipi halijakaa sawa mkuu kwenye maelezo yangu?
Niambie nitoe maelezo zaidi.
Maombi yangu hayakupokelewa kienyeji ndio maana niliamua kufanya kazi kwa moyo mmoja.
View attachment 1682706
Kama ulikua unatumia "online open survey". Ni dhahiri huwezi kutambulikwa na mfumo wa un/unicef. Mifumo ile inatumiwa na mawakala walio ajiriwa na un/unicef kwa ajli ya data colection ya nchi husika. Nakushauri ikikutokea kwa mara nyengine hakikisha unazo contack nzima ya ule admin wa research unaofanya. Kama unao email yake mwadikie barua ya kuomba upate certificate of apreciation kwa ajli ya kuboost cv yako. Bado safari ni ndefu....Kwa kweli maombi na process yote ilifanyika online na tumekuwa tukijaza online form kwa kila step au activity tunayofanya.
Sijawai kupokea barua yoyote wala hiyo access card. Wala hatuna access yoyote na facilities za UNICEF zaidi ya system yao ya Agora.
Ni hivyo tu mkuu.
Huwezi kupata msaada kutoka kwa watu ambao ni sehemu ya tatizo.Hapana bado mkuu, nilikuwa najipa muda kuona kama tutapata majibu ya kueleweka wiki hii ili nisionee watu lakini hakuna kinachoendelea.
Kesho nitafanya hiyo kazi.
Mkuu namna gani naweza report issues au malalamiko WFP?Huwezi kupata msaada kutoka kwa watu ambao ni sehemu ya tatizo.
Njia pekee utapata msaada ni kama jambo hili litafanyiwa uchunguzi na watu ambao hawakuhusika kabisa na huo mchakato. Na your best option kwa sasa ni kuwasilisha malalamiko yako kupitia website niliyokwambia.
Huwa wako fair sana katika investigations zao, na kama kweli kuna uzembe waliohusika na huo ubabaishaji watachukuliwa hatua za kinidhamu kulingana na taratibu zao UNICEF. Huwa hawapendi kabisa kuchafuliwa jina kwa sababu ya uzembe/ubabaishaji wa wazi wa staff mwenyewe.
Fanya yafuatayo wakati unawasilisha malalamiko yako kwenye hiyo website.
1.Kuwa precise na elezea exactly kuwa tatizo ni nini?
2.Hakikisha una viambatanisho kadhaa ambavyo vita support claims zako (kuanzia your recruitment, na pia process ilivyokuwa)-eg scanned emails/screen shots zikionyesha mngelipwa internet allowance, na kupewa certificates, etc)
3.Hakikisha pia una majina na mawasiliano ya wenzako pia ambao mlikua recruited kwenye hiyo project, ambapo kwenye malalamiko yako pia utawataja na kutaja e mails zao kwa maana watataka kufanya ufuatiliaji kwa kuongea na volunteers wengine mliokua nao pia kwenye hiyo project wapate pia maoni yao.
sonofobia