Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
chadema ina watu wengi sana zaidi ya milioni 4.majimbo hayazidi 400.tutagombea wengine.WAONDOKE TU.
narudia tatizo la wakelekdtwa wa cdm elimu ona huyu na unaweza kuta yupo kamati kuu
Hata babu yetu Eduu, hawapendi kabisa hawa "chasaka" yaani huyu zzk, sabodo sorry Shibuda na wengine wachache sijui wametokea wapi yesu wangu.. wanatufurugia chama kumbafu sao...Ningefurahi sana kama ZZK angeondoka na panya wake jana/juzi.
Ningefurahi sana kama SHIBUDA angekimbia bila kufukuzwa toka mwaka jana!!
Let them GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!! Traitors!!
Naomba ma Mod watengenze caption/option ya "dislike" bse kuna taarifa zingine hazina kichwa wala miguu.
Kama kulifungia Mwanahalisi ndiyo uhuru wa habari?.Kwahiyo maproCDM hamtaki habari za chadema ziandikwe ktk magazeti?au ni kwamba mambo yenu mnayotaka yasijulikane hamtaki yawekwa hadharani? Ndo mjue tamu ya demokrasia,ukisikia uhuru wa habari ndio huu.