MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
natumaini wazima .
Ndugu zangu kuna mtu kanifata kuniomba nimsaidie kuandika barua ya udhamini wa kipindi cha television sasa kiukweli ni uzoefu mpya kabisa kwangu ila nafahamu hapa kuna watu walishapitia au wana ufahamu la hili waweze kunisadia formati na pia vitu gani vinatakiwa kuwepo kwenye hiyo barua ya udhamini.
Huyu mtu anataka kuanzisha kipindi katika television kinachohusu masuala ya uigizaji kitachukua takriban ni nusu saa hewani ila vituo vya televison alivyoenda kuomba vipindi walimwambia lazima awe na mdhamini. Natumaini npata msaada. Ahsanteni