Kila kitu watu wangekuwa wanashauriana sijui ingekuaje maana na wenza wenyewe hawa mnachakachuana bila kujitambulisha kwa wazazi anaweza kukuambia usiende na bado mkamwagana sijui itakuaje wakati huo jeshi ndio mtima wako ulikuwa unapenda lakini akakubadili alafu baadae mkabwagana matokeo unabaki kuweweseka kila ukimwona mtu amevaa magwanda ya jeshi
ningejadiliana Pros and Cons za pande zote mbili , na kwakuwa alichonacho yeye ni perceptions tu na siyo ukweli tungefikia muafaka tu............ na zaidi kama angeshilia msimamo , maisha hayana foRmula nisingeenda.
Nimekupata mwali. Ulichokisema nilimwuliza rafiki yangu akaniambia kuna ndugu yake ambaye ameolewa na msolder na ya yeye mwenyewe alishakaa kambini kwa huyo ndugu yake, inawezekana ndo kinachomfanya aone kuwa wako hivo, kuna mambo ambayo ameyaona.
Hayo alioona huko hakuyaona kwa watu ambao sio wanajeshi?
Halikadhalika wapo pia ambao ni wanajeshi na hawana tabia hizo
Violent and difficult people are everywhere, not only in the army
Tell her that, if she doesn't like something in her life, she should change it,
If she can't change it, she should change the way she think of it. :thumbup: