Tell her that, if she doesn't like something in her life, she should change it,
If she can't change it, she should change the way she think of it. :thumbup:
Muulize hiyo perception imejengwa na nini? Kuna kitu aliwahi shuhudia?
Then mwambie kua kila mtu ana personality yake, sio lazima tufanane
Kuna wanajeshi ambao sio wakatili, wazinzi wala wababe (toa mfano)
But mwambie rafiki yako aongee mwenyewe na mpenzi wake, ni bora
Tell her that, if she doesn't like something in her life, she should change it,
If she can't change it, she should change the way she think of it. :thumbup:
Hello! Brothers and sisters, hope mnaendelea na wkend vizuri. Imekuwa mda sasa hatujawa pamoja, ila naamini hakuna kilichoharibika na wadau wa MMU mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa jamii yetu. Nimekuja na tatizo, nina very best friend of mine amejiunga na jeshi baada tu ya kuhitimu elimu ya juu, bado yupo depo. Alichonisimulia ndicho ambacho kimenilazimu kuja MMU kuwa ombeni ushauri. Alichonisimulia ni kama ifuatavyo: Rafiki yangu ana mpenzi wake wa mda mrefu na anampenda kweli ila tatizo ni kuwa demu wake hataki jamaa kuwa mwanajeshi, na hii inatokana na parception aliyonayo kuhusu wanajeshi ya kuwa ni wakatili, wazinzi, wababe n.k. Ki ukweli mimi rafiki yake nimejitwisha mzigo wa kwenda kumshauri kipenzi cha rafiki yangu us you know rafiki ni zaidi ya ndugu, najipanga niende nikaongee naye ana kwa ana. Kati ya ninayomwamini huyu rafiki yangu ni kuwa si wa mambo ambayo yeye anayadhania, kutokana na hilo ndo maana nimekubali kumsaidia rafiki yangu. Please ushauri wenu ni muhimu wadau.

inamaana alienda jeshi bila kujadiliana kwanza na mpenzi wake?
Mkuu,mfano ww ndo ungekuwa rafiki wa jamaa..ukashauriana na mwenzako akakataa usiende. Ni kweli usingeenda?
ningejadiliana Pros and Cons za pande zote mbili , na kwakuwa alichonacho yeye ni perceptions tu na siyo ukweli tungefikia muafaka tu............ na zaidi kama angeshilia msimamo , maisha hayana fomula nisingeenda.
Walijadiliana ila demu alimkubalia kwa shingo upande coz jamaa alikuwa tayari wazazi wake walishamwambia aende jeshini na baba yake ni major so siku anaondoka demu alilia sana.
Kikubwa ni kuwa tunatafuta maisha na mzazi anajua mwanaye kwa elimu aliyonayo jeshini panamfaa.