Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
Sijui nimesoma nn hapo juu. Mwandishi anikumbusheeee
How Come!!
Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..
Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..
Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..
Somalia walitaka kubuni mfumo wao wa uongozi sasa miaka ishirini mfumo haujafanikiwa na wanauana,Nigeria walidumu na mfumo wa kijeshi miaka zaidi ya 40,walikua wanapinduana tu na hawakufanikiwa.Huna pakutokea zaidi ya kua na demokrasia imara.Ukitaka turudi nyuma tawala za kimila basi Ndizo zilizozaa ukeketaji .Labda upendekeze mfumo wewe unajiita engHow Come!!
Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..
Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..
Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..
Mkuu huwezi kuanzisha mfumo mwengine wa kimaisha bwana hii itahitaji falsafa kubwa sana ila unaweza galagala ktk hii hii mifumo iliyobaki, Ubepari(demokrasi)>Ujamaa>Uislamu.How Come!!