Uamuzi wa Kihistoria Bungeni

JPM akitaka kumtekeketeza ampeleke Machinjion Wizara ya Nishati na Madini, Mambo ya ndani au Fedha![emoji12][emoji12]
 
Pamoja na pongezi anazopata pia mheshimia ajitahidi kuboresha baadhi ya maeneo yanayotutesa raia wa kawaida kama kupimiwa ardhi.Hili eneo bado sana hasa mkoa wa arusha.
 
Huwezi kuwaona bavicha kwenye uzi kama huu.
Halafu mtu aliechanganyikiwa anawataka wabunge wa ccm waache kusifia serikali,wakati mtu kama Mbowe na Mdee wamekubali
 
....Hizi ni pongezi za Lukuvi personally, mbona wenzake walioteuliwa pamoja wamechemsha?
 
Wewe hujitambui, kama Kazi yako ni kusifu na kupamba huwezi jua kwamba kuna nchi Waziri Mkuu ndiye anayebeba nchi wakati Rais ni wa ovyo.
Ni wazi tu kuwa hujaelewa kiini cha bandiko langu. Jaribu kulisoma tena uone kama linaendana na hicho ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…