Huyu ndiye waziri Nishati na madini.Chukua hii.
Na sio mtu wa maneno mengi na kushinda kwenye TV kama wapenda kikLukuvi kwa kweli anachapa kazi siyo utani.
Kweli aiseeNa sio mtu wa maneno mengi na kushinda kwenye TV kama wapenda kik
....Hizi ni pongezi za Lukuvi personally, mbona wenzake walioteuliwa pamoja wamechemsha?Hizi siHasa zina sarakasi kiasi cha kuleta kizunguzungu au makengeza. Anayesifiwa anaelekeza sifa zote kwa mkuu wa nchi ambayo ndio sahihi, hao wanaomsifia huwa wanamponda mkuu wa nchi kwa jinsi anavyonyoosha mambo. Kwa hiyo ni sahihi kuelewa kuwa wanamsifia mkuu wa nchi kwa kazi nzuri kupitia mgongo wa waziri wa ardhi. Huu ni mtizamo wangu tu, naweza kukosea ila nampongeza Lukuvi kwa kuitendea haki wizara ya ardhi.
Kakuongopea nani lukuvi std 7?Pale darasa la 7 anakuwa na uweledi kuliko phd holders
Ni wazi tu kuwa hujaelewa kiini cha bandiko langu. Jaribu kulisoma tena uone kama linaendana na hicho ulichoandika.Wewe hujitambui, kama Kazi yako ni kusifu na kupamba huwezi jua kwamba kuna nchi Waziri Mkuu ndiye anayebeba nchi wakati Rais ni wa ovyo.