Unachoshindwa kuelewa ni ahadi iliyotolewa ya kuwafukuza uanachama pindi itapojulikana kuwa walikula dili na CCM.Je,walikula dili na CCM?Hivi barubaru ni nini? Kikwetu barubaru ni makalio ya nyani!Busara ya cdm imezidi ya magamba by far sidhani kama magamba walitegemea kitu kama hiki. Kama hawa madiwani watakaidi amri hii ndipo utakapojua kuwa cdm hailei wachumia tumbo kama magamba.
Jina ma akili yako vinafanana kama buti na ffuhakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.
Let him be a 2nd father for your family!big up the real Dr. 2nd baba wa taifa our trust n faith still relay on u for the building the new and hopefully tanzania
hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.
Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.
Unachoshindwa kuelewa ni ahadi iliyotolewa ya kuwafukuza uanachama pindi itapojulikana kuwa walikula dili na CCM.Je,walikula dili na CCM?
Ajaribu kama kweli! wamefanya madudu si angewavua magwanda au ndio ficha kombe... (scapegoats)?
Mpenzi, unaonaje Jairo angeanza kujiuzulu akifuatiwa na Ngeleja??Kama kweli angewaambia wajiuzulu na Udiwani, anaogopa nini? kurudiwa kura?
Tamko la katibu mkuu linasema walikula dili?Unachoshindwa kuelewa ni ahadi iliyotolewa ya kuwafukuza uanachama pindi itapojulikana kuwa walikula dili na CCM.Je,walikula dili na CCM?
Mkuu Barubaru kwanza jina linaonekana ,,Kama matunda ya Mzambarau" we unakula kuku tu'' tuliza tu mpira huko ulipo ya kwetu hapa nyumbani tuachie wenyewe"mambo yakiwa sawa karibu" Kama kweli we ni mbongo na unachungu,hasira na jinisi gani hapa mabo yalivyo.hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.
Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.
Jibu swali,madiwani walikula dili?...kama hawakula dili,maana yake uongozi wa CDM ulijuwa hili,kama walikula dili kwanini msiwaengue?...dah! mnashindwa hata kumtoa chibuda!Tamko la katibu mkuu linasema walikula dili?
Usiwe kama nyuma kwa bata!!!
big up the real Dr. 2nd baba wa taifa our trust n faith still relay on u for the building the new and hopefully tanzania
Wakati ndio huu unaofaa, dhamira ipo, hali halisi inaruhusu "NGUVU YA UMMA NI ZAIDI YA SHERIA" watanzania tumevumilia vya kutosha matokeo yake tumezidi kuumia, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha kila idara..TABAKA TAWALA LINAFAIDI MAZIWA NA ASALI, ilhali wananchi tuliowaweka madarakani tumetota,ELIMU, AJIRA, AFYA, NISHATI, MFUMUKO WA BEI..kwa kuwa CDM mmekuwa mkimbana JK kuchukua MAAMUZI MAGUMU lakini kumbe ni SIKIO LA KUFA ,tunawaomba sasa muitishe MAANDAMANO YA NCHI NZIMA kupinga utawala huu usiojali wananchi wake huku raisi wake akiendelea kuponda raha na safari zisizokwisha wala kuwa na tija kwa watanzania..(nina mengi ya kuongea) " CHADEMA FANYA MAAMUZI MAGUMU SASA"
Hao unaowashauri waitishe maandamano ni miongoni mwa tabaka nyonyaji.
The whole system requires a fresh start.
I don't KNOW how, but may be through a REBELLION which should be organized by youth (unemployed) and students from primary schools, secondary and high learning institutions allover the country!
I no longer have trust in opposition in Tanzania............