Naunga mkono hojaWamalize shule kwanza,mapenzi watayakuta baadae wakishahitimu masomo.
Duh umemgugo kisawasawa...Kila la kheri mkuu
Ushauri wenu kuhusu huyu binti
Kuna binti mmoja nilimtongoza tukaelewana na lengo langu ni kuoa maana mi mambo ya pisi kali kwasasa hayana nafasi zaidi nahitaji mke kwasasa na si vinginevyo, sasa tulianza vema tukawa tunawasliana bt kuna kipindi nikahisi mabadiliko nikawa simuelewa namtumia sms mpk aje ajibu ni kesho yake au...www.jamiiforums.com
Je, huyu dada ananipenda?
Wadau kuna mdada nimemuelewa sana alikuwa just a friend tu, urafiki wetu haukuwa mkubwa sana zaidi akiwa na changamoto hasa anataka ushauri mi ndo nilikuwa mshauri mkuu na ananikubali sana kwa hilo. Niliamua kurusha ndoano ya kimapenzi lakini lengo langu nataka nioe kabisa kwani kiukweli umri...www.jamiiforums.com
Kwanini lakini huyu mpenzi wangu wazamani?
Habari wakuu na heshima kwenu mabaharia wote waongoza njia na wajasiri wapambanaji. Niliwahi kuishi na dada mmoja wa kinyiramba ambaye alikuaga mpenzi wangu wakati nipo Advance Level yeye yupo O-Level. Tulipotezana kwa miaka 11 nikaskia ameolewa Arusha, basi siku moja nilikutana na rafiki yake...www.jamiiforums.com
Nimemtongoza kaniambia ana mchumba lakini...
Habari za asubuhi wakuu, kuna dada nipo naye kwenye group moja la whatsapp la mambo ya dini nimekuwa nikichart nae sana mpaka usiku wa manane nilimuomba awe rafiki yangu akakubali bt lengo langu nilitaka nimsogeze karibu kisha nimtokee kweli tumezoeana sana full kumsifia sifia status zake zote...www.jamiiforums.com
Basi kazi ipoHakuna mwanafunz wote wahitimu ni wafanyakaz wa umma
😂Tatizo la kutahiriwa na "GANZI" ndio hili......kwa hiyo picha ndio umeianzishia mada.........wewe na wewe ni vifuniko vya double kik...
Wanamapenzi ya kitoto Sana.Hakuna mwanafunz wote wahitimu ni wafanyakaz wa umma
Wamejaaa viburi,hasira,hamna uvumilivu,na majigambo.Fahari 2 hawaishi zizi mojaWakuu poleni sana na uchaguzi. Naenda kwny hoja rafiki yangu kanifata jana usku aktaka ushauri ana mchumba wake ambaye si official kvile na huyo mchumba wake yuko mbali nae kwasasa ila wanawasliana vzuri tu. Sasa sku ya Ijumaa alimuomba mchumba wake huyo amtumie picha maana ktambo hajafanya hivyo mchumba akamwambia nitapiga kesho nikutumie.
Jamaa akamwambia poa sasa imefika kesho yake ya kutuma picha mchumba anamwambia sijapiga kwani simu imejaa mpaka nifute vitu, jamaa akamwambia unanikosea kwani nini kimeshindikana kufuta kama ulikuwa hutaki ungesema lakini ahadi za uongo hasa kwenye mambo madogo huwa sipendi. Eeh kumbe mchumba iyo kaul ikamkela akasema pcha tu ndo unasema ivyo je tukianza ishi pamoja.
Jamaa anasema akamwambia hapana sina nia mbaya nimekwambia tu usiwe unaniahid jambo halafu uslifanye, sasa walikua kwny dm zao whatsapp kila mtu alikuwa ameweka pcha ya mwenzake, jamaa anashangaa akiangalia dm ya mchumba ake hakuna pcha inayonekana.
Ikabidi amuulze mbona dm umetoa picha yangu kosa kukwambia usiwe unaniahidi halafu hutekelez au ndo umeamua kuniacha? Mchumba akamjbu we ukiamua tuachane poa uamuzi upo mikonon mwako. Jamaa akanambia akamjbu mchumba ake kwamba UKIONA MPENZI WAKO ANAKWAMBIA UAMUZI WA KUACHANA UPO MIKONONI MWAKO YAANI YE KAMA HANA CHA KUPOTEZA UJUE HUNA UMUHIMU KWAKE. Mchumba mtu hajajibu sasa ndo alinifata nimshauri mi nlichomwambia naye anyamaze kimya tena kama hajakalili namba za mchumba wake afute kwny simu yake namba na conversation ya sms zote na call log na akae kimya hata kama inauma avumilie kama ni wake atakuja tu.
Je, wadau nyie mnamshauri nini kamanda.?
Je, mimi nimekosea kumshauri hivyo?