Habari ya wakati huu wana Jamie forum Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae...