Uaminifu katika Biashara

Uaminifu katika Biashara

kinshwi

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
48
Reaction score
173
Mimi ni mkristo lakini nakiri kwamba wenzetu waislamu ni waaminifu zaidi unapofanya nao biashara.

Naelewa uaminifu ni hulka binafsi ya mtu hata kule Zanzibar kuna matapeli wa Pemba wa TV na Fridge 😅.

lakini unapofanya biashara na mkristo na muislamu ambaye kila mmoja anajitabanisha kuishika dini yake, wenzetu margin yao ya uaminifu iko juu zaidi.

Kuwa mkristo wa kweli ni kuyaishi yale aliyoyaishi Bwana Yesu , sifa yake moja ni uaminifu , ndugu katika imani tuyaakisi haya hata katika biashara zetu, hapo tutakuwa watoto wake kweli.

The gospel of abundance and success isiyotufundisha nidhamu na uaminifu inaweza kuwa mojawapo ya sababu ya tabia hii. Luka 16:10 , Mithali 11:1
Tubadilike
 
Sio siri ndugu zetu ma-ostaadh hasa hawa sunni , sala tano wanamisingi sio mchezo.
 
Back
Top Bottom