Pastor:
"Leo tuna habari njema na mbaya pia kwenu. Habari njema ni kwamba tuna pesa zakutosha kujenga kanisa zuri zaidi"
(Wakapiga makofi,vigelegele na mama mmoja akaanzisha wimbo)
Baada ya kutulia pastor akaendelea:
"Habari mbaya ni kwamba pesa hizo ba\do zipo mifukuoni kwenu"
(kila mtu anajifanya hajaskia)