Ualimu ni wito. Cheki huyu hapa......

Ualimu ni wito. Cheki huyu hapa......

Ndetanyau

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Mwl katunga mtihani, wakati wa kusahisha kajisahau akaacha making scheme katikati ya karatasi za wanafunzi. Baadaye kaamua kutunga nyingine, baada ya kuendelea kusahisha, kasahisha mpaka ile making scheme ya mwanzo na kaijaza maksi. Eti 70%, kaanza kuonyesha walimu wenzake akidai kwamba ndo mwanafunzi wa kwanza. Mwl m1 kamuuliza 'ni nani huyo jina lake? Ticha ndo anashtuka ni yy mwnyw kajisahisha. Hiyo ni noma jamani. Teacher without content knowledge. Mh big up 2teachers.
 
1185405_585874384787170_1492198595_n.jpg
mpaka Hawa Jamaa Wameshangaaa
 
Alinunua cheti huyo ticha not by professional

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ana stress hajapata mshahara na madai yake mengine
 
Mwl katunga mtihani, wakati wa kusahisha kajisahau akaacha making scheme katikati ya karatasi za wanafunzi. Baadaye kaamua kutunga nyingine, baada ya kuendelea kusahisha, kasahisha mpaka ile making scheme ya mwanzo na kaijaza maksi. Eti 70%, kaanza kuonyesha walimu wenzake akidai kwamba ndo mwanafunzi wa kwanza. Mwl m1 kamuuliza 'ni nani huyo jina lake? Ticha ndo anashtuka ni yy mwnyw kajisahisha. Hiyo ni noma jamani. Teacher without content knowledge. Mh big up 2teachers.

making=marking
 
Ili uitwe mwalimu lazima uwe na kitu kinaitwa PCK, kinyume na hapo ni majanga tupu.
 
Back
Top Bottom