Mpambalachuma JF-Expert Member Joined Apr 4, 2015 Posts 362 Reaction score 44 Jul 23, 2015 #1 Jaman, msaada juu ya kujiunga na ualimu ngazi ya chet, pia vyuo vinavyotoa nafasi hizo ikiwa ni pamoja na taratibu Zake. Natangulia shukran, mim nipo Dar
Jaman, msaada juu ya kujiunga na ualimu ngazi ya chet, pia vyuo vinavyotoa nafasi hizo ikiwa ni pamoja na taratibu Zake. Natangulia shukran, mim nipo Dar
Mpambalachuma JF-Expert Member Joined Apr 4, 2015 Posts 362 Reaction score 44 Jul 23, 2015 Thread starter #2 Msaada
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Jul 23, 2015 #3 Mbona huku sio mahali pake mkuu. Nenda jukwaa la Elimu kule wapo wadau watakuelekeza.
Mpambalachuma JF-Expert Member Joined Apr 4, 2015 Posts 362 Reaction score 44 Jul 24, 2015 Thread starter #4 Ok, sawa mkuu
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,686 Reaction score 12,451 Jul 25, 2015 #5 Mpambalachuma said: Jaman, msaada juu ya kujiunga na ualimu ngazi ya chet, pia vyuo vinavyotoa nafasi hizo ikiwa ni pamoja na taratibu Zake. Natangulia shukran, mim nipo Dar Click to expand... Hiyo una apply online kwenye web ya nacte.go.tz Wameongeza siku ya mwisho wa kuapply hadi agosti 2.Fatilia
Mpambalachuma said: Jaman, msaada juu ya kujiunga na ualimu ngazi ya chet, pia vyuo vinavyotoa nafasi hizo ikiwa ni pamoja na taratibu Zake. Natangulia shukran, mim nipo Dar Click to expand... Hiyo una apply online kwenye web ya nacte.go.tz Wameongeza siku ya mwisho wa kuapply hadi agosti 2.Fatilia