Ualimu ndo kada ambayo waajiriwa wake akipata kesi na kuhukumiwa miaka 3 jela au faini 3m asilimia 90 wataenda jela

Munch wa Annabelle

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
6,274
Reaction score
10,843
Walimu mpo!!!

Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa bodaboda, mpesa uchwara, duka njaa, upishi kweny sherehe uswahiln na semina, tuishen na kuuza ubuyu na bagia kwa wanafunz.

Tukija kweny dharula nilioweka hapo kweny mada, ikitoa mwalimu kapata kesi ambayo akatiwa hatiani na kupewa hukumu ya miaka 3 jela au faini milion 3, bas asilimia 90+ the wataenda jela,

Na hao watakao baki hiyo 10% watapona kwa kukopa kopa sio kwa kutumia akiba zao.

Hawa watu hata akiba ya 500k ndani asilimia 60+ hawana.

Wakijitahidi kuwekeza to the maximum bas atafuga kuku wa kisasa kroiler na broiler huo ndo uwekezaji wao mkubwa na wa mwisho Kabsa.

Hii kada hata ukikaa kuongea nao hawana madini kabsa, hawana exposure wala hawapendi kujifunza.

Na ukimkuta mwalimu mjanja mjanja basi ni yule anaeangalia muvi za Hollywood nyingi kuliko wenzake, bas hapo shulen ndo ataonekana mjanja na anajua mambo mengi.

Kwaleo inatosha
 
Ni kweli kada ya ualimu ina changamoto na hii inaakisi utawala mbovu usio na maono na usiojali uwiano katika kugawanya keki ya taifa.

Badala ya kuwacheka na kuwadogosha walimu GT inakubidi uisikitikie nchi yako maana hakuna nchi ambayo inaweza kuendelea bila kuwa na mfumo bora wa elimu na walimu ndiyo wameshikilia injini na mustakabali wa taifa. Ualimu ndiyo kazi ya muhimu kuliko zote na inaheshimiwa sana duniani kote isipokuwa kwenye shithole countries ambako wizi, ubinafsi, ujinga, ufisadi na uchawa vimetawala. Wakati wenzetu wanawekeza sana katika elimu (hasa STEM) kwenye shithole countries mkazo unawekwa kwenye uchawa, siasa, ubinafsi, mabavu na wizi. Ndiyo maana mjinga mmoja anaweza kuibuka mtandaoni na kuanza kuwatukana walimu wakati naye ni mhanga wa mfumo ule ule usiojali utaalamu na elimu za watu maana kila kitu ni siasa.

Ukiona daktari bingwa wa upasuaji wa mfumo wa fahamu anaacha kazi yake ailyoisomea kwa zaidi ya miaka 15 na kwenda kugombea udiwani au ubunge jua kuwa hiyo jamii ina matatizo.

Asanteni sana walimu. Asanteni kwa kujitoa kwenu. Mnafanya kazi katika mazingira magumu huku mkichekwa na kudharauliwa lakini nyinyi ndiyo mkakati-mama wa maendeleo ya taifa letu. Bila shaka mnajua matatizo yanayowakabili; na pengine siku moja mtakuwa na utashi wa kusimama pamoja na kupigania maboresho katika kada yenu hii takatifu.

We love and respect you....
 
Sio kweli me niliwahi kubaka nikawa naambiwa naenda jela miaka 30 lakini CWT ilinitetea na nikahama mkoa kwahiyo hiyo wazo lako utakuta Kuna mwalimu kakufokolea mke wako na mdogo wako halafu unamuogopa basi ukashindwa chochote kweli kesi ya MILION 3 kweli namana wapo Walimu shule ya msingi wanapata MILION 3 labda MILION 300
 
Waalimu marupurupu yao kuchapa wanafunzi.
Kazi ambayo haina overtime,per diem, transport &comm allowances n.k ikitegemea salary tu,sio kabisa
 
Sio kweli me niliwahi kubaka nikawa naambiwa naenda jela miaka 30 lakini CWT ilinitetea na nikahama mkoa kwahiyo hiyo wazo lako utakuta Kuna mwalimu kakufokolea mke wako na mdogo wako halafu unamuogopa basi ukashindwa chochote kweli kesi ya MILION 3 kweli namana wapo Walimu shule ya msingi wanapata MILION 3 labda MILION 300
Huu mfano wako umedhihilisha upumbavu wenu, hivi kwaakil za kawaida huo mfano wako unaendana na hii hoja?

Watu kama nyinyi ndo mnafanya walimu wote wadharaulike
 
Ni kweli kada ya ualimu ina changamoto na hii inaakisi utawala mbovu usio na maono na usiojali uwiano katika kugawanya keki ya taifa.

Badala ya kuwacheka na kuwadogosha walimu GT inakubidi uisikitikie nchi yako maana hakuna nchi ambayo inaweza kuendelea bila kuwa na mfumo bora wa elimu na walimu ndiyo wameshikilia injini na mustakabali wa taifa. Ualimu ndiyo kazi ya muhimu kuliko zote na inaheshimiwa sana duniani kote isipokuwa kwenye shithole countries ambako wizi, ubinafsi, ujinga, ufisadi na uchawa vimetawala. Wakati wenzetu wanawekeza sana katika elimu (hasa STEM) kwenye shithole countries mkazo unawekwa kwenye uchawa, siasa, ubinafsi, mabavu na wizi. Ndiyo maana mjinga mmoja anaweza kuibuka mtandaoni na kuanza kuwatukana walimu wakati naye ni mhanga wa mfumo ule ule usiojali utaalamu na elimu za watu maana kila kitu ni siasa.

Ukiona daktari bingwa wa upasuaji wa mfumo wa fahamu anaacha kazi yake ailyoisomea kwa zaidi ya miaka 15 na kwenda kugombea udiwani au ubunge jua kuwa hiyo jamii ina matatizo.

Asanteni sana walimu. Asanteni kwa kujitoa kwenu. Mnafanya kazi katika mazingira magumu huku mkichekwa na kudharauliwa lakini nyinyi ndiyo mkakati-mama wa maendeleo ya taifa letu. Bila shaka mnajua matatizo yanayowakabili; na pengine siku moja mtakuwa na utashi wa kusimama pamoja na kupigania maboresho katika kada yenu hii takatifu.

We love and respect you....
Bila elimu hakuna fani nyingine yeyote

Hili naelewa sana, sema walimu wetu nichangamoto kubwa mno na serikali pia hawajaipa umuhmu elimu.

Bila elimu bora hakuna maendeleo na tutakua maskin daima, case study Singapore na Indonesia
 
Walimu mpo!!!

Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa bodaboda, mpesa uchwara, duka njaa, upishi kweny sherehe uswahiln na semina, tuishen na kuuza ubuyu na bagia kwa wanafunz.

Tukija kweny dharula nilioweka hapo kweny mada, ikitoa mwalimu kapata kesi ambayo akatiwa hatiani na kupewa hukumu ya miaka 3 jela au faini milion 3, bas asilimia 90+ the wataenda jela,

Na hao watakao baki hiyo 10% watapona kwa kukopa kopa sio kwa kutumia akiba zao.

Hawa watu hata akiba ya 500k ndani asilimia 60+ hawana.

Wakijitahidi kuwekeza to the maximum bas atafuga kuku wa kisasa kroiler na broiler huo ndo uwekezaji wao mkubwa na wa mwisho Kabsa.

Hii kada hata ukikaa kuongea nao hawana madini kabsa, hawana exposure wala hawapendi kujifunza.

Na ukimkuta mwalimu mjanja mjanja basi ni yule anaeangalia muvi za Hollywood nyingi kuliko wenzake, bas hapo shulen ndo ataonekana mjanja na anajua mambo mengi.

Kwaleo inatosha
Cha muhimu nikuielewa kwanza hii jamii kuwa ipo na changamoto.!

Cha pili , nikuiomba Serekali...itengeneze programa itakayokuwa inatoa semina ama training , zinahusu elimu ya fedha, uwekezaji na maisha baada ya kustaaf angala mara mbili kwa mwaka.

hii itapunguza , hasira ,fitina ,uzushi, chuki zao za "madeni" kwa wanafunzi!

Serekari iangalie hii jamii kwa umakini...ili ipunguze pia tatiza la ugonjwa wa "AKILI"
 
Walimu mpo!!!

Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa bodaboda, mpesa uchwara, duka njaa, upishi kweny sherehe uswahiln na semina, tuishen na kuuza ubuyu na bagia kwa wanafunz.

Tukija kweny dharula nilioweka hapo kweny mada, ikitoa mwalimu kapata kesi ambayo akatiwa hatiani na kupewa hukumu ya miaka 3 jela au faini milion 3, bas asilimia 90+ the wataenda jela,

Na hao watakao baki hiyo 10% watapona kwa kukopa kopa sio kwa kutumia akiba zao.

Hawa watu hata akiba ya 500k ndani asilimia 60+ hawana.

Wakijitahidi kuwekeza to the maximum bas atafuga kuku wa kisasa kroiler na broiler huo ndo uwekezaji wao mkubwa na wa mwisho Kabsa.

Hii kada hata ukikaa kuongea nao hawana madini kabsa, hawana exposure wala hawapendi kujifunza.

Na ukimkuta mwalimu mjanja mjanja basi ni yule anaeangalia muvi za Hollywood nyingi kuliko wenzake, bas hapo shulen ndo ataonekana mjanja na anajua mambo mengi.

Kwaleo inatosha
Wewe utakuwa ni kijana unayesubiria ajira serikalini. Umeomba nafasi ya ukarani wa kuandikisha wapiga kura siku ya uchaguzi, ukakosa! Na walimu kibao wa eneo ulipo wakapata hizo nafasi kwa fujo! Sasa hasira zote ukaamua uzilete humu.

Kwa mfano nikuulize hapa;
1. ulishawahi kusikia mwalimu amefanya kosa la kulipa faini? Jibu litakuwa ni hapana! Kwa sababu walimu walio wengi huwezi kuwakuta wamefanya makosa ya aina hiyo.

2. Makosa yanayo jirudia ya walimu wachache kwenye kundi kubwa la walimu ni;
i.) Kutembea na mwanafunzi/kumpa mimba mwanafunzi (kosa la ubakaji)! Hukumu ni miaka 30.
ii.) Kumuadhibu mwanafunzi kiasi cha kusababisha kifo (kosa la mauaji)! Hukumu yake ni kunyongwa!

Binafsi katika umri wangu huu sijawahi kushuhudia mwalimu akihukumiwa kosa la kulipa faiani. Halafu changamoto za walimu hazina tofauti kubwa na zile zinazowakabili watumishi wengi wa Tamisemi na serikali kuu, kutokana tu ukweli kwamba wanalipwa mishahara midogo na isiyo endana na hali ya maisha.

Au unataka kusema polisi aliyekuwa analipwa mshahara wa laki 3 na 70 kwa mwezi (sijui siku hizi kama wameongezewa) ana uwezo wa kulipa faini ya milioni 3 iwapo atahukumiwa kulipa faini?
 
Na
Sio kweli me niliwahi kubaka nikawa naambiwa naenda jela miaka 30 lakini CWT ilinitetea na nikahama mkoa kwahiyo hiyo wazo lako utakuta Kuna mwalimu kakufokolea mke wako na mdogo wako halafu unamuogopa basi ukashindwa chochote kweli kesi ya MILION 3 kweli namana wapo Walimu shule ya msingi wanapata MILION 3 labda MILION 300
wewe acha uongo Mwl wa shule ya msingi Tsh 3M hazitoe wapi ,
Labda akusanye mshahara wake wote kwa nusu mwaka
 
Wewe utakuwa ni kijana unayesubiria ajira serikalini. Umeomba nafasi ya ukarani wa kuandikisha wapiga kura siku ya uchaguzi, ukakosa! Na walimu kibao wa eneo ulipo wakapata hizo nafasi kwa fujo! Sasa hasira zote ukaamua uzilete humu.

Kwa mfano nikuulize hapa;
1. ulishawahi kusikia mwalimu amefanya kosa la kulipa faini? Jibu litakuwa ni hapana! Kwa sababu walimu walio wengi huwezi kuwakuta wamefanya makosa ya aina hiyo.

2. Makosa yanayo jirudia ya walimu wachache kwenye kundi kubwa la walimu ni;
i.) Kutembea na mwanafunzi/kumpa mimba mwanafunzi (kosa la ubakaji)! Hukumu ni miaka 30.
ii.) Kumuadhibu mwanafunzi kiasi cha kusababisha kifo (kosa la mauaji)! Hukumu yake ni kunyongwa!

Binafsi katika umri wangu huu sijawahi kushuhudia mwalimu akihukumiwa kosa la kulipa faiani. Halafu changamoto za walimu hazina tofauti kubwa na zile zinazowakabili watumishi wengi wa Tamisemi na serikali kuu, kutokana tu ukweli kwamba wanalipwa mishahara midogo na isiyo endana na hali ya maisha.

Au unataka kusema polisi aliyekuwa analipwa mshahara wa laki 3 na 70 kwa mwezi (sijui siku hizi kama wameongezewa) ana uwezo wa kulipa faini ya milioni 3 iwapo atahukumiwa kulipa faini?
Za siku mkuu wangu Tate Mkuu
Nakusalimia mkuu
 
Mkuu tate kwanz heshima kwako!!

Sasa twende kweny spana, hoja yako ya kwanza haina mashiko kimantiki kwasabab kuu moja tu ambayo hukuzingatia nayo ni kwamba katika walimu ambao inakadiria kuwa zaidi ya 70000+ ya watumishi wa serikali kama binadam yeyote yule anaekutana na changamoto za hapa na pale basi wapo wengi wanaokumbana na kesi za kuwapeleka jela, na hoja yangu haijazingatia wingi wa kesi bali hata akiwa mmoja tu kat ya hao 70000+ uwezo wa kutua faini 3milion asiende jela bado ni mdogo mno.

Hoja ya pili nayo umefanya generalization kisomi tunaita syllogism ( hiyo ni logical fallacy) katika inductive reasoning

Nakusalimia
 
Acha tu hawa viumbe wakikosa mkopo huko kwa sufuria lao hasira zote wanakuja kumalizia shuleni, wanatembeza bakora ile mbaya unaweza fikiri wamevuta moshi au Arusha.
 
Back
Top Bottom