Ualimu Buana!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
*Kinacho udhi kwenye kazi ya uwalimu ni pale unapo kuwa darasani unafundisha, anakuja mwalimu mwenzako anakuambia*
*KUMBE UPO PERIOD, endelea kwanza nitakuona baadae*
 
Tunatimiza wajibu wetu wa kuwafundisha lakini mnatafsiri kwa lugha na maana za kijinga!
 
jukwaa lenyewe la utani na mchizi bot kaleta joke yake lakini ndo hivyo tena haichekeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…