Kama hujaelewa dhima ya mleta mada, huenda wewe ndo umeonekana mpumbavu.Sio lazima Kila mara kuonesha upumbavu hata kama tunatumia majina feki
Kafie mbele hukoKama hujaelewa dhima ya mleta mada, huenda wewe ndo umeonekana mpumbavu.
Watu kama nyie ndio mnaonifanya nisitumie JF siku hizi kwa sababu mnaondoa ile dhana ya “The Home of Great Thinkers”.
Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda
Watu kama nyie ndio mnaonifanya nisitumie JF siku hizi kwa sababu mnaondoa ile dhana ya “The Home of Great Thinkers”.
Ukishindwa hayo mawili wewe hufai kuwa great thinker endelea huko instagram!
- Sijawahi kufungiwa account tokea nijiunge JF, kama unaweza kuthibitisha hilo karibu!
- Fafanua ni kivipi hii thread ni ya kibaguzi ili mods waifunge.
Kwanza alivyoandika (hasa watutsi).Ubaguzi ni huu hapo ni bold text. Unaongea vitu vizito with confidence wakati wala huna justification hata moja.
Nikikuomba taarifa ya utafiti kuthibisha yafuatayo:
1. wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa.
2. wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli.
Unaweza ukawasilisha hapa JF.
Sasa huo ni ubaguzi (racism) au assertions (unverified as they are)? Hapo wanyarwanda wamebaguliwa au wamesifiwa ? karibu.Ubaguzi ni huu hapo ni bold text. Unaongea vitu vizito with confidence wakati wala huna justification hata moja.