UAE female pilot

UAE female pilot

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
Ni mwanadada mrembo mwenye umri wa miaka 35 kwa jina ni Maryam Al Mansouri ambaye ni fighter pilot kutoka Airforce ya UAE na ambaye ameshiriki katika operesheni ya kupiga
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1411830881.464184.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1411830881.464184.jpg
    11.3 KB · Views: 873
  • ImageUploadedByJamiiForums1411830901.117159.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1411830901.117159.jpg
    12.1 KB · Views: 800
  • ImageUploadedByJamiiForums1411830917.838869.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1411830917.838869.jpg
    39.3 KB · Views: 843
  • ImageUploadedByJamiiForums1411830946.459779.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1411830946.459779.jpg
    32.1 KB · Views: 823
Huyu ana bahati kweli!!

Wakati wenzie wanakatazwa hata kuendesha gari yeye anaendesha Airforce?

Huo utakuwa mfumo kristo tu!
 
Huyu mrembo ni mkristo. hawa wenzetu wasingemruhusu kufanya mambo ya kishujaa. she is such a looker.
 
Waambieni IS, kuwa mpiganaji akiuawa na mwanamke hataionja pepo

Hahaha!!! afu hizi sheria za hii dini huwa sizielewi kabisa, sasa mbona mwanamke anaruhusiwa kuendesha ndege lakini hana ruhusa ya gari.
 
Huyo siku akienda ipiga Israel, USA watasema ni Terrorist hahaha, western na wakristo wao uwe unawauwa waislam hawana shida watakusifu, ukiwauwa wakristo ni terrorist. Sa huyu Pilot sidhan kama atawauwa ISIS bila kuuwa raia wasio na hatia, sa sijui atasema nini kwa Mungu akifa. Atajuta kusifiwa na wakristo.
 
Hahaha!!! afu hizi sheria za hii dini huwa sizielewi kabisa, sasa mbona mwanamke anaruhusiwa kuendesha ndege lakini hana ruhusa ya gari.

Hanna sheria inazuia mwanamke Ku drive....Saudi ni sharia yao tu, huikuti nchi nyingine ya kiislsmu au kiarabu
 
Back
Top Bottom