U.S on the way to NK?? Hatariii

U.S on the way to NK?? Hatariii

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,535
Reaction score
20,710
Duuh..!! Bila shaka U.S inajiandaa kwa vita na NK.. We have seen and heard war of words kati ya U.S and NK for a while now, nadhani Trump anajiandaa kuliamsha Dude..!! Maskini Kiduku..!!
 
Attachments

Atapigwa kama mtoto. Wawachezee warabu tu siyo ping-pong
 
Mkuu vita ikianza kiduka asijibu kwa nyuklia kwani itaisha mamema sana ndani ya masaa ila Slaa za kawaida atavutavuta mda.
Trump anazingua tu. Mbwembwe nyingi mno.
Rafiki vita na NK usidhani ni issue za kitoto.
Nuke zitakuwa activated hakuna atakayebaki. NK akitumia nuke USA hawatakubari, USA akitumia nuke kuna Pakistan, Irani, Russia nk. Yaani vita vya nuke vitakuwa activated hakuna wa kubaki salama.

Calculation za USA kuwawekea vikwazo wenzake vimeshapitwa na wakati. Mifano ipo mingi. Huyu huyu USA Aliiteketeza Iraq na Libya.
Huyu huyu USA alikuwa anawatishia Vietnam kuwapiga kwa nuke yaani alibeba madege kabisa kwenda vietnam. Tangu miaka na miaka anawatishia NK kuwapiga kwa nuke. Kama kunuka kinuke tu. Wengine tunasubiri reincarnation au tunasubiri kuzaliwa ulimwengu mwingine wa raha siyo huu wa akina Trump mbwembwe nyingi na kutishia wenzake kana kwamba ameumba hata ki sehemu kidogo tu cha dunia.
 
Duuh..!! Bila shaka U.S inajiandaa kwa vita na NK.. We have seen and heard war of words kati ya U.S and NK for a while now, nadhani Trump anajiandaa kuliamsha Dude..!! Maskini Kiduku..!!

Hakuna Vita hapo mnapoteza muda tu, USA hawezi kuivamia Korea Kaskazini bila kuweka mambo sawa na Korea Kusini, Ujapani, Uchina na Urusi! Wakorea ni Waasia, higher IQ, hao siyo kama sisi Waafrika au Waarabu!
 
Hivi Mubage alimshauri nini Kim juu ya USA?.
Mugabe nae kwikwi aiseee....nawakubali sana Mugabe na Kim hakuna kuoneana
 
Duuh..!! Bila shaka U.S inajiandaa kwa vita na NK.. We have seen and heard war of words kati ya U.S and NK for a while now, nadhani Trump anajiandaa kuliamsha Dude..!! Maskini Kiduku..!!
Amna vita apo, marekani hana uwezo wakupigana na NORTH KOREA.
 
Ila hapa mshindi hawez kujulikana...kumbuka thermonuclear bomb alilojaribisha NK hv karibun miongon mwa silaha zake za kinuclear...US iko na antithermonuclear...na pia ana silaha nyingi za teknologia ya juu ambazo NK hana...pia mataifa mengi yenye nguvu yanampea back-up US...n.k
 
Wanaodaiwa wanaomba vita vianze ili Wanaodai wafe
Nalog off
 
Back
Top Bottom