U.S. Government shuts down

Yeah baadhi ya taasisi za kiserikali zimefungwa"Na hapo unaposema mwisho wa dunia unamaanisha nini?"Kwani Usa ndio mbinguni?
 
Hizi habari zina ukweli kiasi gani wakuu? Kuna mtu kanitumia message eti Marekani hakuna chochote kinaendelea. Au ndiyo mwisho wa dunia wenyewe?

we mama hata hlo hulijui?!punguza kusoma udaku na kuskiliza redio za wafu we gamba
 
America Ina 3 branches of government .Na congress Ina power zaidi ya Raisi .obama yeye ni signature na ana uwezo wa KU issue executive order kwa vitu vichache .

kwani hao congress hawajui kwamba ku shut down govt kuna hasara kuliko faida? au wamesahau ya mwaka 95/96... na Obama care ilipitishwaje kama wao wenye power zaidi ya raisi hawakushiriki kuipitisha, kama walishiriki iweje sasa wageuke wakati wa kuweka kwenye bajeti maamuzi waliyopitisha wenyewe....au ndio yale yale ya mtoto kuvurumisha tantrum na kuvunja vyombo kwa sababu ambayo haieleweki labda kanyimwa cookies?? uchumi wao leo hii na uchumi wa dunia si sawa na miaka ile.....wakicheza itakula kwao sasa hivi
 
Hizi habari zina ukweli kiasi gani wakuu? Kuna mtu kanitumia message eti Marekani hakuna chochote kinaendelea. Au ndiyo mwisho wa dunia wenyewe?

Ndiyo matatizo hayo ya kusoma UHURU na JAMBO LEO tu. Kuangalia TBC na kusikiliza TBC radio tu.

Kama ulikuwa hujui hata hili, Then you're still living in STONE AGE.

Binadamu wenzako tulipokuwa tuna under go EVOLUTION sijui wewe tulikuacha wapi?! It seems you're STILL A PRIMITIVE BACKWARD HOMO SAPIENS
 
Hizi habari zina ukweli kiasi gani wakuu? Kuna mtu kanitumia message eti Marekani hakuna chochote kinaendelea. Au ndiyo mwisho wa dunia wenyewe?
Mpendwa huo ni Mgomo temporary !! Lakini wakikubaliana watarudi mbioni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…