Kweli accreditation bado, lakini imelaunch kama wiki mbili tu, sidhani kama wanaweza wakashindwa kupata acredition UN.
Mimi naona tuitumie kama suplementary eductaion fulani, kwa mfano kama mimi nasoma IT kwenye tradition University basi online napiga business kupanua upeo.