Mmasai akapewa kipaza sauti kwenye msiba wa marehemu rafiki yake akaambiwa aseme machache!! Alichosema, "Msiba oyeee, jenesa safi, maiti safi!! Amependesa ajapendesa?! Mwenye wifu akufe kama ii laiyoni!!"
Angalia hii hapa. mbona zafanana? Hii ya chini ni thread ya amiride
Mmasai alikuwa MC kwenye msiba alipopewa kipaza sauti akasalimia ' MSIBA HOYEEEE'.......MAITI SAFIIIIIIIII.....AMEPENDESA AU HAJAPENDESA..WENYE WIFU IFE KAMA HUYU LAIYONI