Mziba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 245
- 109
Nigeria sio mshirika wetu wa biashara kabisa, hatuuzi wala kununua chochote Nigeria, Malawi na Burundi pamoja na uchumi zao kuwa ndogo, bado ni muhimu kwa Tanzanian kuliko Nigeria, ninyi ubepari umewavuruga akili sana, mnawanyenyekea, mnajipendekeza kwa matajiri hata kama hawawasaidii lolote, kwa taarifa yako, tunapokea watalii zaidi ya 50,000 toka Burundi kwa mwaka, wanigeria hawazidi hata 100 kwa mwaka.
First of all, he needs to know why is Nigeria has been singled out and not the other two which he mentioned, Ghana and Gambia? In addition, why the action has taken place suddenly, what an emergency. There could be a good reason behind it.