TZ Postpones Major Mining Tax Reforms | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TZ Postpones Major Mining Tax Reforms

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Jun 17, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Wakati mnaendelea kutafuta wachawi na kuitana mafisadi, mengi yanawapita!

   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2008
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hivi viongozi wetu kweli wapo sawa kichwani? kwanini wampendelee muwekezaji kuliko nchi yao?
  ni aibu kuwa nchi ya tatu kwa kutoa dhahabu africa na kujikuta hatufaidiki hata kidogo. did this need a tume kweli?
   
 3. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2008
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo Mrahaba Ndio Tunausubiri
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  The power of Sinclair ndiyo hii sasa hakuna wa kubisha wa kupindisha .Jamaa ana ubia na Urais wa JK .
   
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ilishaelezwa mapema na ninaunga mkono.

  Kuwa: Tumeumbwa watumwa na no matter what we will try do against our noble nature (Utumwa) ...no escape. Sisi ni watumwa wa kuzaliwa. Kama kuna maelezo mengine yaletwe hapa. na yalinganishwe na matukio yanayoendelea eg la Madni ya taifa.

  Kuwa: Tumeumbwa watumwa wa kutumikishwa na "wazungu"/wawekezaji feki, bila kujali darasa au cheo utakachofikia. Kama kunamealezo mengine yaletwe hapa. ofcourse against mikataba ya aibu ya kuuza nchi kishenzi ...shenzi tu! huku Bunge likikenua na kumbizana kwa "primitive outlooks"

  Kuwa: Kinachotokea Tanzania ni kile kile kilichotokea kwa mababu zetu..kuuza kisiwa kizima kwa kipande kidogo cha kioo cha kujitizamia..bali this time ..kinatokea kwa Hao viongozi wanaoonekana hapo madarakani, na sisi tunacheka cheka tu...Badala ya kioo cha kujitizamia..ni Pipi na vijisenti. Sisi ni watumwa anayfikiri hivi sivyo aseme sisi ni nani..Na akamuulize SIN_CL_AIR kama hatuoni hivi. Att: "SIN"

  WAY OUT:

  There is no way out ...Kwa maana yake kamili ila there is an alternative.

  Na ni hivi.

  Kila mtanzania achague daraja lake la utumwa na ajikabidhi maramoja kwa Mwekezaji anaye fikiri atamtumia kama mtumwa kwa usalama na amani. Kila mmoja wetu ajitathimini kuwa anaweza kuwa Mtumwa wa fani gani na ajikabithishe..Kama basi sio kuwa tayari anachapa kazi kiitumwa na kupelekeshwa kitumwa na "SIN"...Types. Nani anabisha? Nani anafikiri yuko huu? stop that...! Kunawengine wamesha kuwa conditioned na kunogewa kwenye utumwa ..kiasi wala haoni kuwa They are done!!

  Kuna mtu anafikiri I am talking shit!!!

  THEN:

  Aje na jibu lingine ya kinachotokea sasa nchini..na aje na jibu zuri kuliko la kwangu. adhibitishe kuwa yeye si mtumwa na haogozwi na viogozi watumwa .. YES..Watumwa Physicaly ,mentaly and emotionaly.

  Now to MR Prisedent:

  Tuongoze vema kwenda utumwani kwani that is where we belong! and you have no doubt about that. Or do you think we have onother destine?

  WHICH ONE SIR?

  I will be happy you send one of your Boy ..he Sign here openly and he tell us what you told him ...Yes about our nature and its reinforcement toward slevary.. Mentaly, emotionaly and physicaly.

  AND

  I would be very Happy to know about each member of the parliament..the type and the brand of slave they have opted!

  And how they are promoting "their nature" in the on going session.

  GOD BLESS OUR NATION!
   
 6. K

  Korosho Senior Member

  #6
  Jun 17, 2008
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 132
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Azimio,

  Nafikiri sisi sio watumwa tu ila zaidi ya hapo.

  Let us look at the figures:

  1. In the last five years, gold export was $ 2.5 billion, equivalent to total investment brought in in the last 10 years.
  2. With our incentive of tax holiday of 5 years, all mining companies must have started paying their taxes and appreciable levies by now (1998-2008).
  3. Mining industry as opposed to other industries is not a recurrent industry. It is industry where resources deminish with time and associated with massive degration on environment. We can learn from history of other mining areas in France, or in the western side of US, of how land was degraded and associated effect on species and natural habitats. With all these in mind, mining always call for a higher return as compared to other industries.

  4. Of latest figures, Vodacom Tanzania is believed to invest around $2bn. This just falls short of close total investment in mining in the last 10 yrs.Besides, this is a services company, not a mining company ! In other words, the government can actually raise on its own appreciable amount to re-invest, and this can come only from mining taxies and levies.

  5. Our politicians always tend to favor the investors that they(investors) bring in employment opportunities. Kahama Mining (KMCL) in Kakola, directly employs only about 800 people, and about 1300 as casual labourers. This is only to say direct and indirect employment around Kahama does not exceed even 5000 people in a populate of 40mn Tanzanians. Yet, even those employed, their salaries are almost same as in other industries. e.g. a borer is paid 350K same as a secretary in and air-conditioned office in DSM. Whereas the borer put his life in line as well his family, the return is just the same as other type of employment.

  6. Tanzania is 3rd largest producer of gold in Africa, yes. But we are the least revenue earner and yet we are failing to take bold measures to get out of our fate.

  7. Leadership is about taking bold measures,in line of current needs but much so, in future needs. As a country we have failed so far, but the sad fact is we have known that we failed but we seem not to start taking those bold measures. This is where we are going wrong !! I can't imagine the mining companies having been extended their holiday given the fact that we know how much we are losing, but also when we have also been informed that they ready to negotiate on win-win situation with us (remember comments by Canadian Premier).

  Let us wake up. Let us take bold measures in favour of our own selves as well as for future generations!
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  At least kwa sasa wameinusuru STAMICO.....   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,780
  Likes Received: 83,136
  Trophy Points: 280
  Hawa viongozi ni mashareholders katika makampuni hayo ya uchimbaji dhahabu na wako radhi kutetea maslahi ya makampuni hayo badala ya Tanzania na Watanzania. Makampuni ambayo yanapata faida kubwa sana kutokana na bei ya dhahabu kuwa in record levels wanapewa muda sijui mpaka lini, wa kutafakari ni jinsi gani ongezeko la kodi litakavyoathiri mapato yao!!!!! Wakati walala hoi wa Kitanzania na vipato vyao vidogo wanaendelea kuminywa kodi kubwa na kushindwa kukidhi gharama muhimu za maisha. Hawaoni hata aibu kuendeleza ufisadi wa mchana mchana. Kweli aliyosema Sinclai kwamba rafiki yake kamhakikishia kwamba asiwe na wasiwasi na ripoti ya tume ya madini maana yeye JK ndiyo mwenye uamuzi wa mwisho. Na kama fisadi amelinda maslahi ya wazungu badala ya Watanzania!!!!
   
 9. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  WE are dead, na kuna haja ya kuangalia ubongo wa viongozi wetu.

  Ndesamburo ,kasema kuwa kama tukiendelea kuwa hivi kuna wakati watalii watakuja kuangalia hawa watanzania ni watu wa aina gani ?
   
 10. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ... na watoto wetu watachimbua makaburi kutafiti DNA zetu kuangalia tulikuwa tunafikiri nini.

  Sasa hivi tunasubiri "Ripoti ya Sinclair" tujue kama Rais atafanya yale yaliyopendekezwa. Mkullo anatulejea stori nyingine sasa hivi. Yale ya tume ya Bomani yameishia wapi?
   
 11. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Watu wameshaamua kula na baada ya kumaliza waende kula mali ya wanachi kivulini kwa raha mstarehe....globalization ndio faida yake...Bush hakuja TZ bure,alikuja na sababu ....Barrick.....Ndio maana mimi nam support Putin alifunga wahujumu na mapesa yao mpaka leo.
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  It is realy sad story!
   
 13. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2008
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Unapokuwa na rais kama JK unategemea nini? ........................share zake kwa Sinclair zinaongea. Ni jukumu la wabunge sasa kuamua kusuka au kunyoa hatuwezi kungoja 2010.
   
 14. Baba Sangara

  Baba Sangara JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2008
  Joined: Dec 16, 2007
  Messages: 244
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  ....Mining companies operating in Tanzania have been enjoying a wide range of incentives and tax breaks, attracting up to $2.5 billion of investment in the sector since 1998, making Tanzania the third leading gold producer in Africa after Ghana and South Africa....
  This should also be taken with a pinch of salt.. The mining companies regularly overvalue thier imports of construction equipment.. I experienced it first hand; when importing trailers into the country the TRA decided mine were valued well over 10 times the price I had actually boought them for. On asking them how this could be, they produced documents from mining companies with exactly the same trailers I had imported ... So Kama ni trela za lori tu lazima tujiulize thamani za mashine nyingine nyingine ambazo bei zake hazipatikani kwenye internet .... Labda waweke wazi hizo ivestments zao za 2.5 Mio USD tuzikague?
   
Loading...