hili ni taifa ambalo tuliaminishwa miaka mingi kuwa wana ukabila na hawapendani lakini ndugu yangu, likija suala la masilahi ya kitaifa, hakuna Mluhya, Kamba, Jaluo, Kikuyu, Kalenjin nk, wote wanakuwa kitu kimoja.Sisi mbona hatujapinga mradi wao wa Lamu kwenda South Sudan na Ethiopia
"we Mkenya, au!?" ...angalia usije ukaambiwa hivyo na wale wasiopenda kufikiriAfadhali, maana km sijakosea mkuu wa kaya alikua kashabariki ujenzi wa hyo barabara. Ingekua mbaya sana kwa nyumbu wanao migrate kwenda kenya then kurudi tz. Wanasiasa wetu hopeless
Afadhali, maana km sijakosea mkuu wa kaya alikua kashabariki ujenzi wa hyo barabara. Ingekua mbaya sana kwa nyumbu wanao migrate kwenda kenya then kurudi tz. Wanasiasa wetu hopeless
Si mlishabikia EAC?
Hata hivyo hukumu haijasema barabara isijengwe, ila mahakama ya east africa inaruhusiwa kusikiliza shauri hilo "EACJ has full jurisdiction to hear the case"
ni sawa mkuu ila katika masuala yanayohusiana na athari za muda mrefu mara nyingi tunajichanganya kwenye maamuzi kwa kuangalia interests za muda mfupi kama ilivyo kwetu na wakenya kwa sasa.Si mlishabikia EAC?
Hata hivyo hukumu haijasema barabara isijengwe, ila mahakama ya east africa inaruhusiwa kusikiliza shauri hilo "EACJ has full jurisdiction to hear the case"