Mna uwezo wa kununwa ORIGINALS?
clouds fm.kipindi cha jahazi
Kuna vitu ambavyo huwa sivifahamu. Kuna vitu vinaitwa fake, vingine substandard na vingine counterfait. Pia kuna TBS na FCC; hivi vyombo viwili tofauti vinashghulikia mambo gani kati ya hayo niliyoyataja hapo juu? Msaada tafadhali.huwa tunaonyeshwa sometimes kwenye TV bidhaa zinachomwa moto na tume ya ushindani or something, hiyo nayo siyo evidence? angesema jitihada za kuangamiza bidhaa feki hazitoshi ingekuwa sawa..
huwa tunaonyeshwa sometimes kwenye TV bidhaa zinachomwa moto na tume ya ushindani or something, hiyo nayo siyo evidence? angesema jitihada za kuangamiza bidhaa feki hazitoshi ingekuwa sawa..
mna uwezo wa kununwa originals?