TZ- Bajeti 2012/2013 Wapi Tumeumizwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TZ- Bajeti 2012/2013 Wapi Tumeumizwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Challenger, Jun 14, 2012.

 1. Challenger

  Challenger Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  WanaJF
  Naipenda nchi yangu na ndio maana nachangia kodi kila kina,japokuwa wajanja wanaifuja na kuyafanya maisha yangu na waTanganyika wenzangukuwa hoi, hiyo sijali kwani naishi kwamatumaini kuwa ipo siku na hasa 2015 nitapata unafuu wakati ukombozi utakuwaumepatikana.
  Kila kikija kipindi cha bajeti ya Taifa kichwa huniumain-advance kwani huwa najiuliza saafri hii wapi ninareruhiwa. Kwa bahati mbayanikiwa katika miche miche za kimaisha nimechelewa kumsikiliza Mkuu Mgimwa akitemacheche zake za mwaka 2012/2013, na hivyo nimeambulia kupata yale ya mwishoni.
  Nashangaa kwanini (Shinikizo la Damu = BP) halijafanyamawasiliano nami nilipoona Pay As You Earn (PAYE) imeongezwa. Sitaki kusikiamikakati ya nchi kuongeza mapato au sijui siasa za kupunguza matumizi.
  Niachooomba wanaJF waliotuliza mizuka na kuisiliza ilehotuba watumbie hapa sehemu nyingine zipi tumeumizwa?
   
 2. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hivi kwa nini usisikilize kwa makini? na kama hujaelewa si uliza kuliko kupotosha, PAYE haijaongezwa, kimsingi imepunguzwa, kasema hivi

  1. Adjust PAYE threshold as a result of enhancement of salary scales from Tshs 135,000 to Tshs 170,000.
  Ndg ni kwamba kila mtu atapata unafuu kidogo wa kodi kwenye salary.
  Pia badala ya kutafuta wapi umeumizwa nakushauri tafuta wapi serikali imefuta kodi ili ujikite huko badala ya kulalamika tu.
   
Loading...