TYSON FURRY amsujudia Wilder, awaonya AJ na Dillian Whyte wasiombe mechi na Wilder watafia uwanjani.

Kilichomkuta AJ kwa Andy Ruiz ndio akapigane na Wilder atafia hapo nyie mtieni ujinga tu AJ
 
AJ kumbe box tu,kakalishwa ko huko round ya 7
Watu wa boxing wanatupanga tu. Hiyo imepangwa kuelekea AJ vs Wilder fight. Usishangae Wilder akapigana na Ruiz na kuwa unified world champion then likafata pambano against Joshua.
 
Watu wa boxing wanatupanga tu. Hiyo imepangwa kuelekea AJ vs Wilder fight. Usishangae Wilder akapigana na Ruiz na kuwa unified world champion then likafata pambano against Joshua.

Mkuu inawezekana ikawa kweli,ila aj katolewa mpaka damu puani kwa ngumi alizopigwa .

Ukiangalia pambano vizuri aj mwili wa bure kabisa anapigwa ngumi mpaka anakwenda chini mara 4,sidhani kama alikuwa anafanya kusudi maana angekufa maana mpaka mtu anakutoa damu puani.

Aj bado mchAnga sana kwenye boxing kakutana na mtu anayerusha ngumi haraka ana kwenda chini.
 
Yaani hata mwakinyo wetu kaanza kumpigia hesabu AJ......NOT FAIR AT ALL
 
Hivi alikataa mwenyewe kuendelea au refa alikatisha pambano!?

Refa alikatishA.

Aliesabiwa mpaka 8 ndio akaamka huku damu zikimvuja puani.

Refa aliona jamaa asije akauliwa bure maana jamaa kila wakati analambishwa sakafu.

Refa alimpa maelekezo afanye ilikuthibitisha yuko vizuri jamaa akashindwa refa akaamua kumaliza maana jamaa network ilikata
 
Sad......sehemu kubwa ya dunia walikuwa wanampa AJ uwezekano kushinda kwa 95%
 
Sad......sehemu kubwa ya dunia walikuwa wanampa AJ uwezekano kushinda kwa 95%

Mkuu ni 100% kabisa.Mkuu kingine tukiacha ushabiki AJ ni wakawaida sana yaani hanastamina kabisa Yaani ngumi kidogo tu akirushiwa kaanguka chini.

Kwenye hilo pambano muda wote aj anarudi nyuma tu,Na wakati Wewe ndio bingwa,umejiandaa muda mrefu mwenzio week 5 tu.

Aj akipigwa ngumi anaumia anakata pumzi fasta.

Rematch itakuwa December au November this year.

Aj hana uwezo wa kupigana na wilder kabisa kabisa.
 
Hapa ni kama kufananisha jitu lenye nguvu alaf halina akili (wilder) na mtu mwenye nguvu alaf ana akili (AJ). Definitely naona Joshua anaenda kushinda hilo pambano. Joshua kaangusha maboxer tough sana ukilinganisha na wilder
AJ yupi ilikuwa unamzungumzia hapa chief..?
Huyu aliyechakazwa na kibonge mwepesi wa Mexico au mwingine..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…