TYSON FURRY amsujudia Wilder, awaonya AJ na Dillian Whyte wasiombe mechi na Wilder watafia uwanjani.

AJ akitaka kumuweza Wilder kama wakipambana ni kumkimbia mwanzo mwisho ili ashinde kwa point la sivyo lazima alambe sakafu..
 
Hapa ni kama kufananisha jitu lenye nguvu alaf halina akili (wilder) na mtu mwenye nguvu alaf ana akili (AJ). Definitely naona Joshua anaenda kushinda hilo pambano. Joshua kaangusha maboxer tough sana ukilinganisha na wilder
 
Ile alter ego ya Wilder, unaizungymziaj, kuna upupu mwingi kuhusu hilo. Furry mwenyew aliwah zungumza upupu.

Said, the guy ana mazaga yanayo msaidia kuperform katika ring..
 
Hapa ni kama kufananisha jitu lenye nguvu alaf halina akili (wilder) na mtu mwenye nguvu alaf ana akili (AJ). Definitely naona Joshua anaenda kushinda hilo pambano. Joshua kaangusha maboxer tough sana ukilinganisha na wilder
Nahisi, gloves hazidanganyi, Aj na Wilder ni kama Floyd na Manny, man ana skills n upepo ila floyd mjanja.

Wilder ana nguvu kinoma, Aj akitaka ampige huyi acheze mchezo wa Floyd, ila akisema waende sawa, Wilder ata bamiza hiki kiumbe
 
Hiyo ndo key ya mchezo. Kama Irony Tyson, ukivuka naye round kuanzia ya nne (zama zile unaweza chezesha taya zake, hakuzoea round nyingi)

Wilder ni powerful amchoshe kwanza ndo game inoge, kinyume na hapo. ambulance hiwe karibu
 
Alafu sasa hivi Wilder ndio anakimbia kupigana na AJ! Wilder team inajua bondia wao anahitaji muda kumsoma AJ ambaye ameshajua all technical angles za Wilder.

Mwanzoni AJ ni kama alistushwa na uwezo wa Wilder lakini pambano la Ortiz na Fury limebadili kabisa mtazamo wake. AJ yupo tayari anytime ..
 
Umeongea Kitaalamu Sana, Sio Kichakubimbi
 

AJ kumbe box tu,kakalishwa ko huko round ya 7
 
Endeleeni kumjaza upepo wilder hivyo hivyo maana ata iron tyson mlimjaza upepo kwa Lewis mkasema bishoo msuka nywele kilichomkuta alijuta kwanini aliingia kwenye ring

Aj uwezo mdogo sana,pumzi hana,kapigwa huko.

Mlikuwa mnamsifia yako wapi,kapigwa ko round ya 7
 
Habari yako bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…