TYSON FURRY amsujudia Wilder, awaonya AJ na Dillian Whyte wasiombe mechi na Wilder watafia uwanjani.

AJ akitaka kumuweza Wilder kama wakipambana ni kumkimbia mwanzo mwisho ili ashinde kwa point la sivyo lazima alambe sakafu..
 
Hapa ni kama kufananisha jitu lenye nguvu alaf halina akili (wilder) na mtu mwenye nguvu alaf ana akili (AJ). Definitely naona Joshua anaenda kushinda hilo pambano. Joshua kaangusha maboxer tough sana ukilinganisha na wilder
 
Tyson Furry ukipenda muite Gpsy King akiri wazi wazi kwamba Wilder ndiye toughest heavyweight kwa sasa na ndiye the most hardest counter puncher ever, awaonya AJ pamoja na Dillian Whyte wasijiroge kupanda ulingoni na Deontay Wilder watafia uwanjani .

Tyson Furry ameshasema wewe nani mpaka ubishe?View attachment 1102284
Ile alter ego ya Wilder, unaizungymziaj, kuna upupu mwingi kuhusu hilo. Furry mwenyew aliwah zungumza upupu.

Said, the guy ana mazaga yanayo msaidia kuperform katika ring..
 
Hapa ni kama kufananisha jitu lenye nguvu alaf halina akili (wilder) na mtu mwenye nguvu alaf ana akili (AJ). Definitely naona Joshua anaenda kushinda hilo pambano. Joshua kaangusha maboxer tough sana ukilinganisha na wilder
Nahisi, gloves hazidanganyi, Aj na Wilder ni kama Floyd na Manny, man ana skills n upepo ila floyd mjanja.

Wilder ana nguvu kinoma, Aj akitaka ampige huyi acheze mchezo wa Floyd, ila akisema waende sawa, Wilder ata bamiza hiki kiumbe
 
Kiukweli he's really unorthodox,vile vikanuni vya ngumi wala hana aisee.Ila punch zile kama zinafyatuliwa na mashine..kha!Niliona Tyson Fury alichokua anafanya wakati wa mechi yao and it took him to 12th round...anakaa mbaaaali trying to tire him na kukimbia kimbia,japo Fury pia mrefu.Go all out against this animal and risk loosing your memory.
Hiyo ndo key ya mchezo. Kama Irony Tyson, ukivuka naye round kuanzia ya nne (zama zile unaweza chezesha taya zake, hakuzoea round nyingi)

Wilder ni powerful amchoshe kwanza ndo game inoge, kinyume na hapo. ambulance hiwe karibu
 
Alafu sasa hivi Wilder ndio anakimbia kupigana na AJ! Wilder team inajua bondia wao anahitaji muda kumsoma AJ ambaye ameshajua all technical angles za Wilder.

Mwanzoni AJ ni kama alistushwa na uwezo wa Wilder lakini pambano la Ortiz na Fury limebadili kabisa mtazamo wake. AJ yupo tayari anytime ..
 
Aj anapigana kwa tactics ni kama mayweather tu very defensinve anapiga shots zake accurate sana na chache. He is always waiting mpaka round za baadae mpinzani wake aanze kuchoka ndo aatack with full power. Wielder is rather different yeye anapiga hardest shots zake mwanzoni mwa pambano. Anapiga bila plan shots zake nyingi sio accurate points zinakuwa chache wakati anapoteza nguv nying mno. AJ akiweza kumcontain mpaka round za mbele anachokaga kinoma wakati aj round zinavyoenda anazid kuwa balaa. I see AJ winning a KO on late rounds againts wielder
Umeongea Kitaalamu Sana, Sio Kichakubimbi
 
Alafu sasa hivi Wilder ndio anakimbia kupigana na AJ! Wilder team inajua bondia wao anahitaji muda kumsoma AJ ambaye ameshajua all technical angles za Wilder.

Mwanzoni AJ ni kama alistushwa na uwezo wa Wilder lakini pambano la Ortiz na Fury limebadili kabisa mtazamo wake. AJ yupo tayari anytime ..

AJ kumbe box tu,kakalishwa ko huko round ya 7
 
Endeleeni kumjaza upepo wilder hivyo hivyo maana ata iron tyson mlimjaza upepo kwa Lewis mkasema bishoo msuka nywele kilichomkuta alijuta kwanini aliingia kwenye ring

Aj uwezo mdogo sana,pumzi hana,kapigwa huko.

Mlikuwa mnamsifia yako wapi,kapigwa ko round ya 7
 
Aseme kwa niaba yake...
Kama yeye (fury) ameshindwa kumkalisha wilder aache wenye uwezo wa kufanya hivyo wafanye...
Wilder hits hard but AJ hits harder
Fury na Ortiz sio uthibitisho wa ubabe wa Wilder ila ilikua ni njia tu ya kupata kibali kupigana na AJ na sasa ameshakipata tutegemee kutangaziwa pambano muda wowote kuanzia sasa
Habari yako bana
 
nimeangalia mapambano mengi ya joshua mabondia aliopigana nao ni wadhaifu sana
Na hili limethibitika leo
IMG_20190602_113234.jpeg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom