Ile alter ego ya Wilder, unaizungymziaj, kuna upupu mwingi kuhusu hilo. Furry mwenyew aliwah zungumza upupu.Tyson Furry ukipenda muite Gpsy King akiri wazi wazi kwamba Wilder ndiye toughest heavyweight kwa sasa na ndiye the most hardest counter puncher ever, awaonya AJ pamoja na Dillian Whyte wasijiroge kupanda ulingoni na Deontay Wilder watafia uwanjani .
Tyson Furry ameshasema wewe nani mpaka ubishe?View attachment 1102284
Nahisi, gloves hazidanganyi, Aj na Wilder ni kama Floyd na Manny, man ana skills n upepo ila floyd mjanja.Hapa ni kama kufananisha jitu lenye nguvu alaf halina akili (wilder) na mtu mwenye nguvu alaf ana akili (AJ). Definitely naona Joshua anaenda kushinda hilo pambano. Joshua kaangusha maboxer tough sana ukilinganisha na wilder
Hiyo ndo key ya mchezo. Kama Irony Tyson, ukivuka naye round kuanzia ya nne (zama zile unaweza chezesha taya zake, hakuzoea round nyingi)Kiukweli he's really unorthodox,vile vikanuni vya ngumi wala hana aisee.Ila punch zile kama zinafyatuliwa na mashine..kha!Niliona Tyson Fury alichokua anafanya wakati wa mechi yao and it took him to 12th round...anakaa mbaaaali trying to tire him na kukimbia kimbia,japo Fury pia mrefu.Go all out against this animal and risk loosing your memory.
Umeongea Kitaalamu Sana, Sio KichakubimbiAj anapigana kwa tactics ni kama mayweather tu very defensinve anapiga shots zake accurate sana na chache. He is always waiting mpaka round za baadae mpinzani wake aanze kuchoka ndo aatack with full power. Wielder is rather different yeye anapiga hardest shots zake mwanzoni mwa pambano. Anapiga bila plan shots zake nyingi sio accurate points zinakuwa chache wakati anapoteza nguv nying mno. AJ akiweza kumcontain mpaka round za mbele anachokaga kinoma wakati aj round zinavyoenda anazid kuwa balaa. I see AJ winning a KO on late rounds againts wielder
Alafu sasa hivi Wilder ndio anakimbia kupigana na AJ! Wilder team inajua bondia wao anahitaji muda kumsoma AJ ambaye ameshajua all technical angles za Wilder.
Mwanzoni AJ ni kama alistushwa na uwezo wa Wilder lakini pambano la Ortiz na Fury limebadili kabisa mtazamo wake. AJ yupo tayari anytime ..
Endeleeni kumjaza upepo wilder hivyo hivyo maana ata iron tyson mlimjaza upepo kwa Lewis mkasema bishoo msuka nywele kilichomkuta alijuta kwanini aliingia kwenye ring
Habari yako banaAseme kwa niaba yake...
Kama yeye (fury) ameshindwa kumkalisha wilder aache wenye uwezo wa kufanya hivyo wafanye...
Wilder hits hard but AJ hits harder
Fury na Ortiz sio uthibitisho wa ubabe wa Wilder ila ilikua ni njia tu ya kupata kibali kupigana na AJ na sasa ameshakipata tutegemee kutangaziwa pambano muda wowote kuanzia sasa
Habari yako bana
Daaah ametambazwa kama mbuzi aisee...AJ mchumba tu
Hahahahha chibonge nomaDaaah ametambazwa kama mbuzi aisee...
Utadhan alikua kafunga aaaah
Anyway team AJ forever
Na hili limethibitika leonimeangalia mapambano mengi ya joshua mabondia aliopigana nao ni wadhaifu sana