Kaka Kapo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2012
- 547
- 350
Fellas Nafanya website/webapplication designing using PHP, HTML, na CMS kama Wordpress na Kidogo Joomla sasa hivi karibuni i was browsing the internet nikakutana na cms nyingine inaitwa TYPO3 nikacheki baadhi ya online projects zilizotengenezwa na hii CMS ukweli zimekaa fresh nikataman kujifunza hii kitu nimecheki checki ila nimekwama jinsi ya kuinstall kwenye locohost/ web server yangu ilinipigie kazi maelezo nayapata kwenye sources tofauti yanaelekeza only jinsi ya kuinstall kwenye hosted invironment.. Je kuna mwenye maunjanja ya kitu anifumbue macho aseee?