Types of Women

Unamaanisha nini Bazazi ni bazazi?

Kauli zako zina utata mtupu, wengine ni wachambuzi waandamizi wakuu (Senior Principal Analyst - SPA). Tatizo la SPA ni kuangalia nukta tofauti tofauti katika maeneo (angle) tofauti tofauti.

Ni hilo tu Mpendwa wangu Kongosho.

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
He he he he, labda una-analyze kwenye hamna.

Kauli zako zina utata mtupu, wengine ni wachambuzi waandamizi wakuu (Senior Principal Analyst - SPA). Tatizo la SPA ni kuangalia nukta tofauti tofauti katika maeneo (angle) tofauti tofauti.

Ni hilo tu Mpendwa wangu Kongosho.

Ndimi Bazazi!
 
gfsonwin! Hapa umegonga like ya nini? Kongosho sio mtamu ki viiile, bana! Nina ushahidi

Bazazi ni Bazazi!
Bazazi mbona unataka kunichekesha? mwenzio huyo Kongosho ni mtamu kweli na ana mavibration ya kufa mtu jaribu uone lol! au alikubania? ahaaa! yaezekana aliku outsmart ndo sababu syo bure.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho mjibu tu Pet cash kuwa siku hz umeshafuzu darasa la mavibration so uko mtam ile mbaya. yye tu aanze kutuma hela za vocha na lunch akipanga folen ya date.
gfsonwin @Kongosho mbona mwaka hautoisha tutakoma na nyie....Kwenye foleni ya kubook kidate tu tushatuma vocha-baada ya kideti cc tulio na hela fupi c tutakuwa short listed pale sharti la kavitz kununuliwa linapotolewa?
 
Last edited by a moderator:
ata sijui kama hii ni real , otherwise kuna research imefanyika , just emagination sio kama wasomi wote wapo hivyo..
 
Unataka ule kwa uma na kisu karanga za kukaanda au dengu za kukaanda?

Utapasuka msamba.

gfsonwin @Kongosho mbona mwaka hautoisha tutakoma na nyie....Kwenye foleni ya kubook kidate tu tushatuma vocha-baada ya kideti cc tulio na hela fupi c tutakuwa short listed pale sharti la kavitz kununuliwa linapotolewa?
 
Last edited by a moderator:

Samahani, lakini naona hii point ya tatu inawagusa mademu wengi wa tasnia mbalimabli hapa bongo haswa wasanii wa bongo fleva na bongo movie; yaani tuseme asilimia 98 ya mademu wa kibongo wako hivi. Siyo kashfa but I swear to anyone this is true. Kwa sasa hapa Bongo kuona demu mwenye mtu mmoja si rahisi. Wengi wametawaliwa na tamaa za ajabu ajabu hivyo hujilazimisha na kuwa na mabahasha wanne au zaidi. Kwa mwanamme atakayejihisi yuko peke yake katika mahusiano anajidanganya na ukijitosa upige kavukavu utashangaa tu siku ya siku unaharisha kudhani umekula chakula kilichooza kumbe demu kakupa diet ya kisasa. Kwa kifupi mademu wa kibongo hawafai zaidi ya kupiga na kondomu mbili na kuachana nao basi, lakini kuwa nao serious.....there's no fu.ck.ing way! Samahani kama nimewakwaza but that's the truth and I have seen enough with them to determine this.
 
gfsonwin @Kongosho mbona mwaka hautoisha tutakoma na nyie....Kwenye foleni ya kubook kidate tu tushatuma vocha-baada ya kideti cc tulio na hela fupi c tutakuwa short listed pale sharti la kavitz kununuliwa linapotolewa?

kumbe jibu unalo? sasa basi mkono mtupwi haulambwi.na ukitaka cha uvunguni lazima uiname.
 
Bazazi mbona unataka kunichekesha? mwenzio huyo Kongosho ni mtamu kweli na ana mavibration ya kufa mtu jaribu uone lol! au alikubania? ahaaa! yaezekana aliku outsmart ndo sababu syo bure.

Ohoo! heri miye sijasikia uliyosema. Wenyewe wakikutoa manundu miye simo.

ndimi Bazazi!
 
aseee huyo no. 3 anahusika sana ila la msingi uwe na mkwanja na ujue kummudu, lakini kma vp unakuwa nao wote at different time saaaafi ila ndo take care maana mmmh ngoma ni soooo
 
Haya wadada waJF jimwageni na kila mtu ajicategorize yupo wapi. Pengine naweza pata chaguo jema hapa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…