minjapeter
Member
- Sep 19, 2017
- 14
- 1
Naomba kujua jinsi ya kuweka TWRP recovery ya simu kwenye desktop pc
Kama ni sumsung tumia odin ukiwa na zip au image file ua hiyo TWRP inayoendana na simu yako, kwa HTC tumia njia ya fastboot kwa CMDNaomba kujua jinsi ya kuweka TWRP recovery ya simu kwenye desktop pc
Soma bandiko lake vizuri.Kama ni sumsung tumia odin ukiwa na zip au image file ua hiyo TWRP inayoendana na simu yako, kwa HTC tumia njia ya fastboot kwa CMD
Haswaaa hili ndilo nlikua nalitakaJaribu kuflash kwa odin ikishindikana tumia njia ya Sd card yani flash kwenye simu moja kwa moja......kama huelewi kitu usijaribu mana kila kitu kinatakiwa kuwa compatible...ukibugi umebrick
Aina ya simu ni tecno w4Jaribu kuflash kwa odin ikishindikana tumia njia ya Sd card yani flash kwenye simu moja kwa moja......kama huelewi kitu usijaribu mana kila kitu kinatakiwa kuwa compatible...ukibugi umebrick