Two-Step Verification/Two factor authentication

Two-Step Verification/Two factor authentication

Joined
Jul 22, 2017
Posts
43
Reaction score
20
Umewezesha two-step verification kwenye account yako jamii forums au mtandao wowote? kama bado, wezesha sasa. Ni muhimu sana!
 
Kweli mkuu inasaidia katika ulinzi na usalama wa account yako
 
kumbuka kutumia njia ya app kwa mfano Google Authenticator badala ya njia ya Email. Kwa watumiaji wa simu za Android ambao ni wengi, unaweza upakua Google Authenticator kwenye Play Store.
 
Back
Top Bottom