Two imams pulled from plane

Wakristo ni 8,000,000 milioni nane Misri lakini hawapewi kazi yoyote, kama si utalii wa wazungu basi wangekufa wote



Vitu vingine vinaumiza hata kichwa kufikiria....
 
1: Ndg pamoja na yote hayo uchochezi wa kidini sio mzuri
2;Inamaana hao abiria walikuwa hawana imani na ulinzi uliopo airport?
 
Wakristo ni 8,000,000 milioni nane Misri lakini hawapewi kazi yoyote, kama si utalii wa wazungu basi wangekufa wote

Kinachonishangaza ni kuwa tajiri mubwa wa Misri ni Mkristu.....
 
Hawa watu hata hawatumii akili. Kweli mtu kama anataka kufanya ualifu wake wa kulipua ndege basi ndio avae kanzu, kofia na abandike madevu meeeeengi kama father xmas. Ili hiweje ndio mabomu yataripuka vizuri au...!?
 
Hata kama wana imani, lakini hawajashushwa kwa uwoga tu, bali wanatia kichefu chefu, watu wa kundi kama leo au a japo ni waislamu wenzao kwa jina la dini wamewauwa ndugu zao, kwa hiyo, ni damu zao zimekataa kusafiri pamoja na wala watu, au kama sio ni wenzao...
 
Sometime inabidi uilewe enviroment iliyopo ili usipate vikwazo na uishi vizuri na wanajamii . Hasa hasa kama wanajamii wenyewe wana tofauti za kitamaduni na mila .

Wakati hao jamaa hawajentendewa haki kutolewa kwenye ndege. lakini hofu ya abiria wengi nayo ni jambo la kuzingatia. kila upande una mambo ya kufanya kuepusha usumbufu huu
 
Wao wawili hawakufurahishwa na kitendo cha kuondolewa kwenye ndege, lakini pia abiria waliokuwa wengi zaidi ndani ya ndege hawakufurahishwa na uwepo wa hao muslims mule! Labda ingepigwa kura!

majority rule,minority right...
 

:usa::israel::israel:Mkuu umesema ukweli mtupu. :israel::israel::usa:
 
<br />
<br /> umeshiba ile mikate uliyokalanga kama isemavyo ezek.4:3
 
Lkn hijab si vasi la dini pia...mbona hapa zanzibar (even tanga)baadhi ya wadada wanalivaa na huku wanauza, nje unaona hijab, ndani kichupi tu biashara kama kawa!!!
Wanaojilipua hivyo hivyo vichwani vikofia na kanzu jeupe lkn kichwani na mioyoni giza nene....wauwaji na wakatili wakubwa!!!!
 
Ivi masheikh , mapadre, masisista, wanautamaduni wangeamua wote wavae mavazi ya kidini barabarani, disco,sokoni, kwenye ndege n.k ingekuaje kama si kujaza matambala kusikohusika? Sihulaumu upande wowote kwa tukio ilo maana kila mtu kapata haki yake. Jifunze dress code ya mahala na mazingira yake. Ktk daladala tunakutana na mapadre na wachungaji na masheikh walioenda shule wamevaa vazi la kitanzania lakini utamuona mtu kutoka manzese au mtwara kavaa booonge la msalaba au wengine mkanzu mchafu au kakata suruali ikawa kama pensi ndeeeefu eti wanaienzi DINI wakati hata viongozi wao hawajafikia hatua iyo. Jamani tujifunze utamaduni wa mahala wala si kujiona we ndo wewe. Lets be sincere to call a spade a spade, ngoja wakekereketwa wapate haki yao.
 
wanavuna walichopanda-may be wategemee mengi zaid ya haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…