Hakuna kitu kinanikera na kuniudhi ndani ya JF ya miaka hii kama hii tabia moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) kuwabadilishia members headings na contents za habari wanazoleta au mada wanazoanzisha. Suala hili linakwenda kinyume na slogan ya JF. Nadhani kwa mtindo huu kaulimbiu sahihi ya JF inapaswa kuwa ama Where Moderators Content Count au Where Freedom Belongs to Moderators instead of Where we Dare to Talk Openly
Hii habari ya kesi husika nilipoibandika hapa niliipa kichwa cha habari chenye kumfanya msomaji aimithilishe kwa haraka na ile ya Babu Seya na dhidi ya kile kinachoweza kuwa hatma yake siku za mbeleni. Mtindo huu ni fasihi andishi ya uelewa wa kawaida kabisa. Nashangaa moderator kwa uwezo na utashi wake kaamua kuanzisha thread mpya kwa jina langu!
Kwenu moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) naomba kati ya haya mawili fanyieni kazi moja; kuondoa jina langu kama muanzishaji wa hii thread au kurejesha uzi original.
Lini JF imegeuka Dalasa la Chekechea kuanza kufundishana uandishi wa vichwa vya habari?
That is the highest degree of miscarriage of justice... But at last God heard their cry and set them free!
...0.5!!!!!!!!!!!!!do us a favourKichwa cha habari yako kilikuwa misleading, unasema habari nyingine na unatoa kichwa cha habari kingine kabisa......moderators wanasimamia haki za watu wote (sio zako mwenyewe) na kwa sababu habari yako inaonekana ni yakweli kabisa na kichwa cha habari ndicho cha uongo (huo ndio ukweli - kichwa cha habari ulichokiweka ni cha uongo) ndio wakaamua kukibadilisha kiendane na habari iliyopo ndani......
Kama ambavyo wanatakiwa waiondoe habari ambayo ni wazi kwamba ni ya uongo sioni kwa nini unawahukumu wanapokiondoa kichwa cha habari ambacho ni wazi kwamba ni cha uongo.....
That is the highest degree of miscarriage of justice... But at last God heard their cry and set them free!
Hakuna kitu kinanikera na kuniudhi ndani ya JF ya miaka hii kama hii tabia moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) kuwabadilishia members headings na contents za habari wanazoleta au mada wanazoanzisha. Suala hili linakwenda kinyume na slogan ya JF. Nadhani kwa mtindo huu kaulimbiu sahihi ya JF inapaswa kuwa ama Where Moderators Content Count au Where Freedom Belongs to Moderators instead of Where we Dare to Talk Openly
Hii habari ya kesi husika nilipoibandika hapa niliipa kichwa cha habari chenye kumfanya msomaji aimithilishe kwa haraka na ile ya Babu Seya na dhidi ya kile kinachoweza kuwa hatma yake siku za mbeleni. Mtindo huu ni fasihi andishi ya uelewa wa kawaida kabisa. Nashangaa moderator kwa uwezo na utashi wake kaamua kuanzisha thread mpya kwa jina langu!
Kwenu moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) naomba kati ya haya mawili fanyieni kazi moja; kuondoa jina langu kama muanzishaji wa hii thread au kurejesha uzi original.
Lini JF imegeuka Dalasa la Chekechea kuanza kufundishana uandishi wa vichwa vya habari?
Hakuna kitu kinanikera na kuniudhi ndani ya JF ya miaka hii kama hii tabia moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) kuwabadilishia members headings na contents za habari wanazoleta au mada wanazoanzisha. Suala hili linakwenda kinyume na slogan ya JF. Nadhani kwa mtindo huu kaulimbiu sahihi ya JF inapaswa kuwa ama Where Moderators Content Count au Where Freedom Belongs to Moderators instead of Where we Dare to Talk Openly
Hii habari ya kesi husika nilipoibandika hapa niliipa kichwa cha habari chenye kumfanya msomaji aimithilishe kwa haraka na ile ya Babu Seya na dhidi ya kile kinachoweza kuwa hatma yake siku za mbeleni. Mtindo huu ni fasihi andishi ya uelewa wa kawaida kabisa. Nashangaa moderator kwa uwezo na utashi wake kaamua kuanzisha thread mpya kwa jina langu!
Kwenu moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) naomba kati ya haya mawili fanyieni kazi moja; kuondoa jina langu kama muanzishaji wa hii thread au kurejesha uzi original.
Lini JF imegeuka Dalasa la Chekechea kuanza kufundishana uandishi wa vichwa vya habari?
Mie nilianzisha yangu ikabadilishwa pia....hawa jamaa wanakera sana siku hizi